Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

Hivi Sanchoka na Mama yake, kuna anayewaelewa na hizi picha zao?

Hapa duniani sio wote wanawaza ndoa, kuoa/ kuolewa kuwa ni a must thing hizi ni criteria zetu za kibongo ambazo watu wame cremisha kuolewa, kuzaa, kitendo ambacho hata wanyama wasio na utashi hufanya.
So duniani watu hutofautiana bongo hii wanaamini asiye oa au kuolewa ni dhambi na mapungufu na kusahau kila mtu na vipaumbele vyao vya life. Na Kuna wanaoingia ndoani wameshindikana tabia na malaya vinara wa kuolewa na kuachika. So marriage sio kigezo Cha watu kuwa perfect ingekuwa perfect watu wangeheshinu viapo vyao na ingekuwa heaven on earth but unfortunately hapa bongo hyo taasisi unayoona mtu kuingia ndio ukamilifi ni kinara mwa taasisi za kinafiki na jela ya wengi
Jipe moyo Ila ,ila wanawake mnahitaji sana ndoa (labda msagaji).

"itafikia kipindi wanawake sita watamng'ang'ania mwanaume mmoja, huku wakimwambia tutajigharamia wenyewe ila tuitwe tu kwa jina lako........"-Nabii Isaya.

Utakataa ila ukweli ndio na tunaona, hata hao wanao jifanya hawapendi ndoa ni mbele za macho ya watu, ila wakirudi makwao stress za kutosha (wanajifanya wana ngozi za chuma wakiguswa inabonyea).Ndio maana mmejazana kwa waganga na makanisa ya walokole.
 
Kwanini utusemee wanawake na wakati wewe sio mwanamke, hyo kuona ndoa ni Kwa wanawake kuliko wanaume ni hisia zako tu maana wanaume wenyewe kuridhisha wanawake hamna si bora wakoboane tu.
Hafu hyo ya wanawake 6 mume moja ni hadithi tu hizo hazina uhalisia
 
Umetumia lugha Kali unnecessary tu bila sababu mkuu, mbona hata kabla ya huyo soulmate nilikuwaga sihangaiki wala kuruka ruka, na sasa nimenona shavu dodo ndio haswa nimekuwa st Maria sihangaiki na mtu mie nikiwa na ka hela ka mboga why naona mahusiano kichefu chefu na usumbufu.
So wanawake tunaamua tu kukuwa na tuna wahi ku mature na kuelewa dunia haina jipya hata uhangaike vipi kitu kilekile. So kutulia ni mtu akiamua moyoni baada ya kuona life ni ubatili na ukijua inner happiness is everything unaacha kutegemea watu kihisia that's all, na sio papuchi kulegea hyo ni big no
Sijakulenga personaly mkuu..ni general overview tuu n it is not personal..au sio!?? Cheers basi!!!
 
Kwanini utusemee wanawake na wakati wewe sio mwanamke, hyo kuona ndoa ni Kwa wanawake kuliko wanaume ni hisia zako tu maana wanaume wenyewe kuridhisha wanawake hamna si bora wakoboane tu.
Hafu hyo ya wanawake 6 mume moja ni hadithi tu hizo hazina uhalisia
Ehehehe...mkuu kwan wanawake wenye kuridhisha wanaume WAPO??????
 
Kwanini utusemee wanawake na wakati wewe sio mwanamke, hyo kuona ndoa ni Kwa wanawake kuliko wanaume ni hisia zako tu maana wanaume wenyewe kuridhisha wanawake hamna si bora wakoboane tu.
Hafu hyo ya wanawake 6 mume moja ni hadithi tu hizo hazina uhalisia
Sijajua imani yako ila hayo si maneno yangu bali ya nabii Isaya,ila kama umeamua kubisha basi sawa.
 
Ndo katika hiyo idadi wa waliokataliwa ndo mm nimoo ila sijawahi kuwa muoga, labda nilitumia njia ambazo siyo sahihi kwa wakati ambao haukuwa sahihi. Namuahidi mwanae bado ntarudi tena
Eti mwanae bado ntarudi tena 😂😂😂😂😂😂😂 watu bana!!!
 
Sijui labda unawazungumzia wanaume wa huko kwenu, mwanamke mtulivu na mstaarabu ni dhahabu mbele ya mwanaume muoaji, mara chache sana wanakosa watu. Hao machakaramu wanaweza kuolewa, ila mwisho wa siku wakaishia kuachwa au wasiolewe kabisa.
Watu decent huwa wanapigwa matukio hadi huruma, angalia asilimia kubwa ya mabinti watulivu zile waifu matirio kabisa.... Wakulungwa wanapita na matukio wanaishia kuwazalisha na kusepa, akichoandika ni ukweli mtupu.
 
ila kwa bahati nzuri soul mate huwa wapo kila stage ya maisha.... tatizo huja mwanaume akijua umependa!!! mana kwenye maisha kupendana sawasawa hakupo lazima upande mmoja uzidi
Tupendeni ma soul mate 😂 acheni janja janja
 
Watu decent huwa wanapigwa matukio hadi huruma, angalia asilimia kubwa ya mabinti watulivu zile waifu matirio kabisa.... Wakulungwa wanapita na matukio wanaishia kuwazalisha na kusepa, akichoandika ni ukweli mtupu.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom