TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 729
Umeona sasa!!? Kwakifup nyie wenyewe hamjuagi hata mnataka nini? ..Nyie kutulia ni mungu tu na mkishachoka choka chakaa mbaya mbovu papuch mashavu yamelegea kama nyama za nyongeza yale malapu lapu buchani ndio mnajikuta kutulia huku mnasingizia et umepata soul mate...nyie hata mpate "soul-tape" nini soul mateDah umeandika ukweli aisee ukimpata soul mate wako mapenzi huwa raha Sana hafu huoni makosa yake ni utii kwa kwenda mbele. Nimewahi pata soul mate moja tu basi unfortunately tuliend na sad story
Unaweza ukakuta ana vidumu vyake (havina na hata mbuni) wana msugua kimya kimya.Umeona sasa!!? Kwakifup nyie wenyewe hamjuagi hata mnataka nini? ..Nyie kutulia ni mungu tu na mkishachoka choka chakaa mbaya mbovu papuch mashavu yamelegea kama nyama za nyongeza yale malapu lapu buchani ndio mnajikuta kutulia huku mnasingizia et umepata soul mate...nyie hata mpate "soul-tape" nini soul mate
Pia wanaume wengi hufikiria ukiwa mstaarabu kwake imekufa na kuoza na huna options kumbe huwa ni kujidaganya tu, wengine wameumbwa na moyo wa upendo kwa yoyote yule Sasa wao hujiona wao ndio wao.
SureNaunga mkono kabisa... wengine huwa tuna upendo tu na kuacha pia tunaweza ni kama kuweka on & off
Umetumia lugha Kali unnecessary tu bila sababu mkuu, mbona hata kabla ya huyo soulmate nilikuwaga sihangaiki wala kuruka ruka, na sasa nimenona shavu dodo ndio haswa nimekuwa st Maria sihangaiki na mtu mie nikiwa na ka hela ka mboga why naona mahusiano kichefu chefu na usumbufu.Umeona sasa!!? Kwakifup nyie wenyewe hamjuagi hata mnataka nini? ..Nyie kutulia ni mungu tu na mkishachoka choka chakaa mbaya mbovu papuch mashavu yamelegea kama nyama za nyongeza yale malapu lapu buchani ndio mnajikuta kutulia huku mnasingizia et umepata soul mate...nyie hata mpate "soul-tape" nini soul mate
Wanaume wengi majority wako hivo hata wanawake wife material huwa maranyingi wanateswa na tabia chafu za wanaume waoSijui labda unawazungumzia wanaume wa huko kwenu, mwanamke mtulivu na mstaarabu ni dhahabu mbele ya mwanaume muoaji, mara chache sana wanakosa watu. Hao machakaramu wanaweza kuolewa, ila mwisho wa siku wakaishia kuachwa au wasiolewe kabisa.
Na wanaume wengi hawapendi wanawake watulivu na wastaarabu, maana ndio huwatesa sana na wanaume wanapenda wanawake kichwa ngumu.
Pia wanaume wengi hufikiria ukiwa mstaarabu kwake imekufa na kuoza na huna options kumbe huwa ni kujidaganya tu, wengine wameumbwa na moyo wa upendo kwa yoyote yule Sasa wao hujiona wao ndio wao.
Kwa umri huu niliofika swala la kupenda mtu nimeshavuka hyo stage mtu anaye care nitamjali, anaye ni ignore na mimi na mu ignore kwa kweli, Ile kufa kuoza hapana, maana furaha najipa mwenyewe sitegemei kwa mtu au vitu
Miaka ya nyuma gani kulikuwa na saint anne na savannah?Alikuwa anapenda Saint Anne na Savanna balaa nimepakumbuka Iringa
Ngumu sana kumkuta binti aliyetulia anakosa mme na kama wapo wachache, wanaume kwenye ndio wanatafuta utulivu. Ila sijajua huko kwenu, ila kwa mitaa niliyokulia zile pini za mtaa na yale machakaramu wengi hawapo ndoani na wengi wao single mother.Wanaume wengi majority wako hivo hata wanawake wife material huwa maranyingi wanateswa na tabia chafu za wanaume wao
.Na wanaume wengi hawapendi wanawake watulivu na wastaarabu, maana ndio huwatesa sana na wanaume wanapenda wanawake kichwa ngumu.
Pia wanaume wengi hufikiria ukiwa mstaarabu kwake imekufa na kuoza na huna options kumbe huwa ni kujidaganya tu, wengine wameumbwa na moyo wa upendo kwa yoyote yule Sasa wao hujiona wao ndio wao.
Kwa umri huu niliofika swala la kupenda mtu nimeshavuka hyo stage mtu anaye care nitamjali, anaye ni ignore na mimi na mu ignore kwa kweli, Ile kufa kuoza hapana, maana furaha najipa mwenyewe sitegemei kwa mtu au vitu
Kama vile wanaume 'husband material' ambavyo hufanywa mazoba na wake zao, it's a 50/50 two-way traffic.Wanaume wengi majority wako hivo hata wanawake wife material huwa maranyingi wanateswa na tabia chafu za wanaume wao
Huyu ndiyo bashalake Sanchoka au Mama yake?jamaa mmoja mtoto wa mjini anaitwa kambi. mmiliki wa cambiasso sports inayojishughulisha na uwakala wa wachezaji wa mpira.
huyo hapo katika picha.View attachment 1986626View attachment 1986627
View attachment 1986764
Hata kwa wanawake hivo hivo tuna sifa zetu tunaangalia sio kukurupuka for instance unakuwa na mtu kwa kuangalia a certain criteria na mambo mengineyo.In short hakuna sifa za moja kwa moja kwa mwanamke ili kuwa "wife material"....kila mwanaume ana maono yake kuhusu wife material anaemtaka under ceteris peribus
Hapa duniani sio wote wanawaza ndoa, kuoa/ kuolewa kuwa ni a must thing hizi ni criteria zetu za kibongo ambazo watu wame cremisha kuolewa, kuzaa, kitendo ambacho hata wanyama wasio na utashi hufanya.Ngumu sana kumkuta binti aliyetulia anakosa mme na kama wapo wachache, wanaume kwenye ndio wanatafuta utulivu. Ila sijajua huko kwenu, ila kwa mitaa niliyokulia zile pini za mtaa na yale machakaramu wengi hawapo ndoani na wengi wao single mother.
Mwanaume tutafanya upuuzi wetu wote, tutabadilisha mademu ila kwenye kuoa mara nyingi sana tunakuwa makini na hatuangalia uzuri wa nje bali wa ndani.
Absolutely correct wanaume responsible na wanaojali ndio vinara wa kuteswa na kuteseka kwa mapenziKama vile wanaume 'husband material' ambavyo hufanywa mazoba na wake zao, it's a 50/50 two-way traffic.