Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Wana Great thinkers hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Unapenda kutoka kwenye siku kama hiyo?
Kama hupendi, kwanini?

Najaribu kuwaza tu... au Watanzania hamvutiwi tena na matembezi?

Tukipewa siku moja ya kutoka na kujiburudisha kitaifa, kweli mtajitokeza au kila mtu atabaki kwake? 👀

Weekend nyuzi laini laini
ShesRise_1 ✋️
 
Kuna wakati walitoka
 
Thanksgiving day would be much better! Iwe siku maalum ya taifa kutafakari tulikotoka, tulipo, na tuendeko kiroho safi bila hadaa za kijinga.
Siku ya Shukran ingekua bora zaidi?
Ex: mambo gani ya kushukuru?
 
Back
Top Bottom