Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Sana aisee, binafsi napenda mazingira tulivu yenye ukijani mwingi, yakipambwa na sauti asili kabisa,milio ya ndege flani

Huko ndio utulivu wa kweli unapatikana,unakuwa connected na nature so amazing kwakweli
Nilidhani hiyo siku tungeitumia kukagua miradi ya kijamii
Kumbe ni bora twende Serengeti
 
Outing nipande treni ama twiga wa buluu huku nakunywa lager ama lite ishara ya upendo wangu kwako 🤩 zipora
 
Ndugu wasomaji wa huu uzi,naona kama hatujaelewa Code hapa🤣🤣

Inamaanisha tupo tayar kwa matambezi ya amani yale ya kuleta mabadiliko?
 
Ndugu wasomaji wa huu uzi,naona kama hatujaelewa Code hapa🤣🤣

Inamaanisha tupo tayar kwa matambezi ya amani yale ya kuleta mabadiliko?
Nitakufatilia
Issue hapa ni mtoko wa kitaifa
Siku ya ku kupata marafiki wapya mawazo mapya nk.....
 
Back
Top Bottom