ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
Safiibaniani bayaa, kiatu chake dawa
Safiibaniani bayaa, kiatu chake dawa
ndondo, si chururuSafii
Heh hayandondo, si chururu
mwenda pole hajikwaiHeh haya
Lala sasa kesho nayo sikumwenda pole hajikwai
Siku nenda siku rudi Lala sasa kesho nayo siku
Miaka nenda rudi 😅😅Siku nenda siku rudi
Mliosoma IST haya mambo hamjui Miaka nenda rudi 😅😅
Mambo ya methali
Huko IST ndiyo wapi😆Mliosoma IST haya mambo hamjui
Pamparume mlango wa chuma
IST unajifanya hujui shule yako ya internation school of tanganyika Huko IST ndiyo wapi😆
Pamparume mlango wa chuma🤔
Kumbee sikujua kabisaIST unajifanya hujui shule yako ya internation school of tanganyika
Sielewi kabisa😆.....ukiubomoa hauna huruma 😊
acha maneno wewe wa kishuaaa Kumbee sikujua kabisa
Mkuu mimi nimesoma MEMKWA
Sielewi kabisa😆
Wa kishua 😅 jidanganyeacha maneno wewe wa kishuaaa
... kula hizo zetu za MEMKWA wenyewe sio nyie mnaojifanya MEMKWA
Uzuri wa Nkuwa ndani kuna mdudu
Wa kishua wewe, jifanyishe level zetu kikulambe na vumbi la mikoaniWa kishua 😅 jidanganye
Anyway kwenye mtoko wa taifa utakuepo?
Wewe unachekesha kama hutokei kwetu😅Wa kishua wewe, jifanyishe level zetu kikulambe na vumbi la mikoani
Ukija nichukua nitakuwepo, sina nauli ya kwenda unipitie na passo yako😁😁
badae basi unipeleke mjinj nishangae magorofa, uninunuliye na li pepsi big na chips Wewe unachekesha kama hutokei kwetu😅
Ikiwa ni national constitution outing day,nitatoka ila kama ni zile za kwenda kupingwa vizinga ama kupiga vizinga huo nao ni kupungukiwa maarifa🤔Wana Great thinkers hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?
Unapenda kutoka kwenye siku kama hiyo?
Kama hupendi, kwanini?
Najaribu kuwaza tu... au Watanzania hamvutiwi tena na matembezi?
Tukipewa siku moja ya kutoka na kujiburudisha kitaifa, kweli mtajitokeza au kila mtu atabaki kwake? 👀
Weekend nyuzi laini laini
ShesRise_1 ✋️
Aaah kumbe kuna za kwenda kupiga vizinga na kupingwa vizinga😚Ikiwa ni national constitution outing day,nitatoka ila kama ni zile za kwenda kupingwa vizinga ama kupiga vizinga huo nao ni kupungukiwa maarifa🤔
Safi sana