Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Yeah kwa upande wangu ningetoka kwasababu unakuwa mtoko flani amazing sana,binafsi ningependa kama kwenda mbugani hivi,yeah mazingira tofauti kidogo
 
Yaani kwenye hiyo outing unapendelea uende visiwani?
Kwanini sio huku bara?
😃😃😃
Labda nitaenda kusini mwa Tanzania pia Iringa napapenda. Lakini kufanya national outing Day tofauti na visiwani na Iringa hapana
 
Ooh unavutiwa na asili wewe
Sana aisee, binafsi napenda mazingira tulivu yenye ukijani mwingi, yakipambwa na sauti asili kabisa,milio ya ndege flani

Huko ndio utulivu wa kweli unapatikana,unakuwa connected na nature so amazing kwakweli
 
Exactly ningetoka
Maana najua nitapata marafiki wapya nk.........
Sure, umenikumbusha kuna documentary moja niliona,kuna jamii moja huko duniani

Huwa na siku maalumu ya gathering, na hapo hata wachumba hupatikana,ni utaratibu wa jamii hiyo wapendanao kukutana,wakivutiwa basi mipango mingine hufanyika huko mbeleni

Kwahiyo sio jambo geni hapa duniani
 
Ooh basi na sisi tupange ya kwetu ama vipi?
 
Back
Top Bottom