ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yaani kwenye hiyo outing unapendelea uende visiwani?Binafsi labda niende visiwani maana hata sikukuu ya idd husheherekewa mpaka siku 4.
Kwahiyo ikitokea hiyo ofa ya kitaifa hutoki ng'oo?Kilaa cku mm natoka out labda mkuu wanipeleke inn
Sawa maana najua akili huna 😆Bora nibaki ndani ninyetuke kwa raha zangu.
Ntakaa ndan km oct 29 mkuu wanguu hahhahaKwahiyo ikitokea hiyo ofa ya kitaifa hutoki ng'oo?
Kuna wakati walitokaWana Great thinkers hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?
Unapenda kutoka kwenye siku kama hiyo?
Kama hupendi, kwanini?
Najaribu kuwaza tu... au Watanzania hamvutiwi tena na matembezi?
Tukipewa siku moja ya kutoka na kujiburudisha kitaifa, kweli mtajitokeza au kila mtu atabaki kwake? 👀
Weekend nyuzi laini laini
ShesRise_1 ✋️
Aisee kule mwendo wa Bata Batani, si ajabu mzee unapenda kujisogeza hukoBinafsi labda niende visiwani maana hata sikukuu ya idd husheherekewa mpaka siku 4.
Siku ya Shukran ingekua bora zaidi?Thanksgiving day would be much better! Iwe siku maalum ya taifa kutafakari tulikotoka, tulipo, na tuendeko kiroho safi bila hadaa za kijinga.
Ukiwa Soni lushoto au sio🤣🤣Bora nibaki ndani ninyetuke kwa raha zangu.
Mengi tu! Tuko wamoja.Siku ya Shukran ingekua bora zaidi?
Ex: mambo gani ya kushukuru?
Yeah, huku juu.Ukiwa Soni lushoto au sio🤣🤣
Aiseee utakua umezingua kumbuka ni national outingNtakaa ndan km oct 29 mkuu wanguu hahhaha
Au mnunulie mtu maua anoona unamzingua tu,ni bora umpe hela,kila mambo yana utamaduni wake ujueBongo unapanga date na mpenzi anakwambia “hiyo hela si bora tu unipe” hahah
Kwahiyo unataka kusema je 🤣🤣Bongo unapanga date na mpenzi anakwambia “hiyo hela si bora tu unipe” hahah
Kibaridi kwa pembeni hivi dah hatar sanaYeah, huku juu.