Hivi serikali au wadau wakipanga National Outing Day utatoka kwenye hiyo outing?

Kumbee sikujua kabisa
Mkuu mimi nimesoma MEMKWA
Sielewi kabisa😆
acha maneno wewe wa kishuaaa 🫩🫩

... kula hizo zetu za MEMKWA wenyewe sio nyie mnaojifanya MEMKWA

🫩🫩🫩 Uzuri wa Nkuwa ndani kuna mdudu
 
acha maneno wewe wa kishuaaa 🫩🫩

... kula hizo zetu za MEMKWA wenyewe sio nyie mnaojifanya MEMKWA

🫩🫩🫩 Uzuri wa Nkuwa ndani kuna mdudu
Wa kishua 😅 jidanganye
Anyway kwenye mtoko wa taifa utakuepo?
 
Wa kishua 😅 jidanganye
Anyway kwenye mtoko wa taifa utakuepo?
Wa kishua wewe, jifanyishe level zetu kikulambe na vumbi la mikoani

Ukija nichukua nitakuwepo, sina nauli ya kwenda unipitie na passo yako😁😁
 
Wa kishua wewe, jifanyishe level zetu kikulambe na vumbi la mikoani

Ukija nichukua nitakuwepo, sina nauli ya kwenda unipitie na passo yako😁😁
Wewe unachekesha kama hutokei kwetu😅
 
Ikiwa ni national constitution outing day,nitatoka ila kama ni zile za kwenda kupingwa vizinga ama kupiga vizinga huo nao ni kupungukiwa maarifa🤔
 
Ikiwa ni national constitution outing day,nitatoka ila kama ni zile za kwenda kupingwa vizinga ama kupiga vizinga huo nao ni kupungukiwa maarifa🤔
Aaah kumbe kuna za kwenda kupiga vizinga na kupingwa vizinga😚

Haya mkuu
Kama outing day ikiandaliwa usikose kufika karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…