Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

Ninyi wenzetu mna magroups ya aina gani?!!
Ya Menina niliikuta JF
Ya mchungaji yule niliishia kusikia sikia tu
Na leo tena kuna nyingine?!!
Ukiangalie ile video utagundua kitu kuhusu maumbile ya mwanadamu...

Huwezi kumkomesha mwanamke na sex.
Binadamu ni kama nyani akiwa uchi.
Jamii ya Kitanzania imeharibika mno.
Watanzania wengi wanamatatizo ya akili.
Madhara ya vijana kutokuwa na elimu bora ya msingi na sekondari ni makubwa sana.

Wenye mamlaka baada ya kutoa matamko kaeni chini mtafakari nini kifanyike hali ni mbaya sana na athari inaweza kubwa sana.
Akiwa kama nyani inakuwaje, nini ushauri wako, mbona haufunguki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile video sio kama mtu kafumaniwa wala nini. Ule ni mtindo wa ufanyaji ngono unaitwa Gang bang yaani ukiwa na maana ya "Ngono ya wengi" kwa wakati mmoja.
Kwa kupitia mtindo huo huo wa gang bang pia tunaweza kupata mitindo midogo kama
1. Four some
Hii aidha huwa wanaume watatu kwa mwanamke mmoja/ wanawake watatu kwa mwanaume mmoja au wanaume wawili na wanawake wawili

2. Three some
Hii aidha huwa wanaume wawili kwa mwanamke mmoja/wanawake wawili kwa mwanaume mmoja

Gang bang kuu unaweza kukuta mwanamke mmoja kwa wanaume wengi zaidi.

Kuhusiana na video pale habakwi wala hafanyiwi uhuni mtu wanajua wanachokifanya then sauti ya mwanamke inayosikika pembeni - Ni director wa movie

Mungu akinusuru kizazi chetu na mitindo ya ajabu kama hii iliyozoeleka majuu na sio huku kwetu.


ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Back
Top Bottom