Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?


Hahahah u nailed it,naona inaangukia 47 sharp. 1982 alikua na 14 ,alianza akiwa na 7 mwaka 1975 so alizaliwa mwaka 1968,therefore ana miaka (2015-1968) 47.
 

Mkuu Siimak, pengine nisilete ubishi kuhusu unachokiamini wewe. Ila mimi pia nimeandika kwa jinsi ninavyomjua. Kwa maelezo yangu niliyotoa awali ninamfahamu kwa zaidi ya miaka 35. Niliwajua wazazi wake wote wawili, kaka zake na dada zake wote. Ananifahamu vizuri na kwa kifupi ninafahamu mambo yake mengi (mazuri na mengine ni ya kawaida tu katika maisha). Ni mtu ambae tunaheshimiana. Sasa kwa vile hapa JF tunatumia ID zinazoficha majina yetu sioni logic ya kutiririka mengi ili kuthibitisha zaidi nilichoeleza awali kwani mwisho wa siku haitakuwa na maana ya mimi kutumia ID iliyopo hapa JF. After all kilichoulizwa hapa ni age yake tu nami nimejitahidi kueleza kwa jinsi ninavyoelewa.
 

kwa lugha nyingine wewe una 49!
Good!
 
Nimeanza kumjua miaka ya 1998 akitoka na Jafarai,tulikua tukimzomea anatoka na mtu mzima enzi hizo,sishangai nikisikia ana 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…