GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila nikimtathmini hasa matendo yake na kubwa zaidi kupenda kupiga picha na kutupia mitandaoni mara akiwa kamshika huyu au kapozi hivi sometimes kihasara hasara na vitu anavyoviandika achilia mbali vya kupost huwa nashindwa kumwelewa huyu yupo ktk kundi gani.
Naomba anayemjua zaidi atiririke hapa ili nizidi kumfahamu zaidi na hasa ukizingatia kuwa yeye ni public figure.
Na mwisho naomba kujua sifa za kuwa mbunge wa Afrika ya Mashariki ni zipi?
Nitawashukuruni mkinijibu members.