Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

Hivi Shy-Rose Bhanji ana umri gani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikimtathmini hasa matendo yake na kubwa zaidi kupenda kupiga picha na kutupia mitandaoni mara akiwa kamshika huyu au kapozi hivi sometimes kihasara hasara na vitu anavyoviandika achilia mbali vya kupost huwa nashindwa kumwelewa huyu yupo ktk kundi gani.

Naomba anayemjua zaidi atiririke hapa ili nizidi kumfahamu zaidi na hasa ukizingatia kuwa yeye ni public figure.

Na mwisho naomba kujua sifa za kuwa mbunge wa Afrika ya Mashariki ni zipi?

Nitawashukuruni mkinijibu members.

 
Mimi nitakujibu moja ya maswali uliyouliza, sifa za kuteuliwa mbunge Est Africa ni kama alizokuwa nazo Rose
 
Utaacha lini umalaya swaiba? Hapo unataka information tu kwa wanaomjua ili ukipewa data kamili uanze kumfukuzia,tatizo lako unapenda mno papuchi wewe ukimgegeda huyo na kibarua chako cha umbea kutoka kampuni ya SSIT kinaota mbawa,muulize Jaffarai alipata gundu la milele hadi leo hajulikani hata alipo,mara ya mwisho alionekana London akifanya kibarua cha kuosha magari.
 
Sugu na Jafarhymes ndio wanaomjua zaidi tena kiundani sisi wengine tunamjua kama unavyomjua wewe

Hivi Kitu SUGU Kikipita Ktk ENEO FULANI Je Na Lile ENEO LILILOPITIWA Nalo Litaitwaje Mkuu? Tatizo Langu Kiswahili Ni Lugha Yangu Ya 3 Huku Kwetu Kigali Nchini Rwanda.
 
Back
Top Bottom