Hivi siku ukikutana na video chafu ya mwanao utakuwa na hali gani?

Wanasema tu hao kuwa watapiga waue ila siku akimuona jembe lako linamwaga uno Kwa mwanaume mwenzake ndyo hapo utakapo jua kuwa Kuna nguvu duniani ambayo hukujua kama inahitajika nayo ni nguvu ya kiroho.

Mana moyo wako hauwezi kukubali hayo mambo.
 
Mkuu hata nguvu za kupga utakosa
Maana wewe ndo utakuwa umepigwa na kitu kizito
 
Mkuu, kiswaswadu ni kibaya kuliko smartphone, browswer za kiswaswadu zinafungua kila kitu japokuwa haziplay video online,
Smartphone ina ulinzi kuaccess site chafu ambazo zinapelekea watoto kuiga hiyo michezo japokuwa akiamua kuna namna ana Access.

Kinachoharibu watoto ni marafiki, hasa hasa hawa watoto wa kike wanaolelewa eti kisasa, unampa uhuru wa kuwa na marafiki wengi ili iweje?

Hapo ni kuomba tu mtoto awe na akili za kufikiria na kujua kitu fulani ni kibaya, kama mwanao hawezi basi kwisha
 
Huo upuuzi wangefanya bila kurekodi, maana kila mtu ana mchezo wake mchafu kama ilivyo puli kwa vitoto vya kiume, issue ni video ndio imeharibu kila kitu
 
No comment!
 
Usimalize maneno mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…