Mkuu kumbuka deal line tarehe 30 mwezi huu, leo tarehe 12Ninachokiona Msimbazi kwasasa ni weredi ñdio unafanya kazi. Kabla ya kusajili ni lazima uwe na kocha.
kinachotusumbua baadhi yetu ni uswahili tuliouzoea. Huo uswahili uliotamaraki kwa sasa uchurani ndio unafanya muone simba haipo serious. Binafsi naipenda style ya simba kwa sasa.
Anagombewa na team zipi? Hilo nalo ni swala la msingi sana kuzingatia.Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa
Nitajie timu yenye mafanikio makubwa duniani na mmiliki wake ni mhindi au anatoka IndiaHata gsm ndio wale wale tu ,Hadi msola kaamua kujitoa ashaona upimbi unaoendelea ,na bahat nzur mashabik wanafurahia injinia kuwa rais Ila muda utaongea tu.
Simba na yanga ni wale wale tu kwa kila idala Hakuna wa kumnyoshea kidole mwenzio kote Kuna ujanja ujanja tu.
Viongozi wa Simba wameshituka uwekezaji wa Mchongo wa Dk Mudi Dewuji....
Hawana Sauti na Timu yao, fedha za Simba ndio zinazungushwa na Dewji ktk uendeshaji Club...
Hawajui mikataba ya matangazo ya bidhaa za mwekezaji Dewuji Iko vipi na club inanufaikaje na mapato!!?
Bil 20 maelezo yake hayaeleweki....hisa zao 51 nguvu yake Iko wapi...yaani 49 ndio inafanya wao waonekane kazi yao kufungua mikutano na kufunga kwa mujibu wa Ndg Rage...
Yaani wamechanganyikiwa Dewuji kawabana hawana mapato yoyote kama club...mapato ni ya Dewuji Dk...
Wanahali ngumu mno...
yaani tunavyojua kulalamika ilhali hatuchangii chochote kwenye ustawi wa klabu zaidi ya maneno,,tuache wanaoweka hela zao waamue wanchotaka......
Nitajie timu yenye mafanikio makubwa duniani na mmiliki wake ni mhindi au anatoka India
Ligi haijaisha huo usajili unafanya vipi ?Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.
Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.
Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.
Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?
Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Tuliofanya kazi na Wahindi kwa miaka mingi,tunaelewa anachokifanya Mo dewji pale Simba
Kocha yupi bora wa kiafrika unamtaka ?Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.
Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.
Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.
Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?
Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Mkuu kwanza unaifahamu bajeti ya timu pamoja na vyanzo vyake vya mapato au kikubwa timu isajili tu mchezaji hata nje ya uwezo wake wa bajeti.Kuna vitu havipo sawa pale,msimu uliopita viongozi waliweka siri ktk usajili kumbe matokeo yakawa hivyo wachezaji waliowaleta wanajua wenyewe,msimu huu unaoisha tunahitaji quality players lakini utasikia mara mchezaji yule hatukumuhitaji,au alitaka dau kubwa sasa wachezaji wazuri unawapata vipi bila kutoa pesa?.Wataweka usiri sana ktk usajili mashabiki tukiamini wapo seriously ktk kutafuta wachezaji ila utaona matokeo yake
Hata kabla ya Mo dewji kuja kuwekeza pale Simba washachukua ligi Mara tano mfululizo na hata kufika fainali ya Caf champions leaguekuchukua mara nne mfululizo sio mafanikio? kufika robo fainali miaka mitano mfululizo sio mafanikio? kabla ya huyo muhindi mlikua mnaishia wap?
kwenda zako wewe. Simba hatufanyi ishu zetu kwa kufata mkumbo wa Utopolo.Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.
Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.
Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.
Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?
Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Haya chiz maarifa ,yaan unavyoropoka utafikir upo kitengo Cha usajir kumbe ni kenge mmoja anayeishi kwa kuunga unga kitaani.Wewe ni noya mkuu, boya tena boya haswa!!! Hujui kitu
Yaan wewe ndio kiaz balaa ,kwahiyo Simba kabla haijawa na mudy haikuwah kupata ubingwa?Ikiwa MO na viongozi aliowaweka ndio shida, maana yake ni kwamba akiwapisha ndo mtakuwa mnafanikisha usajili mzuri? Kwani ilikuwa ni lazima amsajili Aziz Ki?
Ikiwa Simba kufeli msimu mmoja kumewatoa akili kiasi hiki, kwanini nisiwaite wajinga?? Nyinyi ni wajinga tu, tena wajinga sana.
Huko nyuma Simba Sc haikuwa chini ya Mo mlipata nini zaidi ya kusindikiza ligi tu? Punguzeni ujuaji kwenye pesa za watu kutaka zitumike kama mnavyotaka nyinyi, ilihali nyinyi hachangii hata senti.
Elewa mada we kilaza .Usiyempenda huwezi kuona jema linalotendeka kwake. Zaidi ni kumuombea mabaya
Acha kujijaza kama vile hujui sysytem za michezo Tz, unasema hata nila Muddy Simba Sc ingeweza kuyafanya haya iliyoyafanya ndani ya hii miaka minne(Ligi+Caf)? Leo hii muddy akae pembeni ni nani anaeweza kuwalipa hao wachezaji wa kigeni mishahara hata ya mwaka mmoja?Hata kabla ya Mo dewji kuja kuwekeza pale Simba washachukua ligi Mara tano mfululizo na hata kufika fainali ya Caf champions league
Mafanikio ya mpira ni kushinda vikombe au mataji makubwa kama lilivyo lengo la simba
Timu nyingi zinazofanya vzr duniani wamiliki wake ni waarabu kama alivyo Gharib Said Mohammed
Anagombewa baada ya kumwona kwenye mechi mbili Alizokutana na Simba?Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa