Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Kwangu hilo halipo kutokana na umri na uzoefu..... kwani Mama yako mzazi kabila lake ni lipi? Au baba yako ilikula kwake? Kuwa positive na ishi nao kwa akili na timiza majukumu yako.
Kila wakati nikizungumzia hatari za wanawake unataka ndugu zangu kuona kama nitaweka lakini wapi. Awe Mama yangu ama Mamako tabia ni zile zile.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila wakati nikizungumzia hatari za wanawake unataka ndugu zangu kuona kama nitaweka lakini wapi. Awe Mama yangu ama Mamako tabia ni zile zile.
Mama yangu na watoto na wajukuu wake hawana shida. Nakuuliza kuhusu ndugu, dada na mama yako ili utafute hata mfano mmoja wa kukupa imani kuwa wanawake bora wapo.

Narudia, chagua mke bora kutoka familia sahihi, timiza majukumu yako kama mwanaume, ishi naye kwa akili. Ndoa zipo na zinadumu endapo vigezo vya mke utavyoangalia si matako na degree sijui utoto wa mjini pekee.
 
Aya bhana....kila la kheri.
 
Hahaha k imepanuka!
 
Wewe ni Simp bila shaka.....
 
Uzi huu kwa heshima yake naomba upelekwe kwenye jukwaa la Stories of Change.
 
Wasiojua KUF Ya Azam
Sahihi kabisa, Wadada walio wengi, hasa waliofika elimu ya Chuo, Hupenda mahusiano au mapenzi ya_Kitamthilia zaidi, Yasio na uhalisia, na Ndio hao wengi wao hushidwa kuishi na wenza.
 
Sahihi kabisa, Wadada walio wengi, hasa waliofika elimu ya Chuo, Hupenda mahusiano au mapenzi ya_Kitamthilia zaidi, Yasio na uhalisia, na Ndio hao wengi wao hushidwa kuishi na wenza.
Hilo Ndiyo Ukisikia Zimwi Likujualo

Yaani Wakifika Vyuoni Wanarudi Home Wakikataa Hali Halisi Hapo SSasa Ndiyo Anguko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…