Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Kusanya hela mdogo wangu, hayo maneno yao wakiona hela wanaufyata mdomo vizuri kabisa. Na wana nidhamu ya kutosha.
Ukikosa hela wanakudharau waziwazi ,hawaoni hata aibu na huruma. Kusanya mkwanja inatosha.
Una akili timamu? Halafu mbona mnakurupuka hovyo kujibu thread? Umeelewa thread?
 
Back
Top Bottom