Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

Tunaomba katiba mpya nadhani haya yote yataisha
 
Na nyie pia kila siku mnataka makalio hadi tumeanza kwenda uturuki kufanya sajari.
 
Mmoja mmoja anaanza kujitambua.
 
Wewe ni mwanaume au mvulana?
 
Tuache kutukuza izo qoomer tu tutafanikiwa yani kweli sisi ndo wa kukaa kinyonge kuwaza mjegeje sjui hautoshi mara silast longer shida ni nyie mnaowaendekeza na kuwabembeleza hao viumbe
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wanaume tutavuja sana jasho la kende ili kuitunza familia..
Narudia,, ili kuitunza familia, ambayo ni mke na watoto. Then watoto wakue kwa kula jasho letu kisha waimbe "Nani kama mama??
Na mama zao watusimange kisa tumezeeka so we are no longer their productive slaves..
Achen Uzwazwa amkeni enyi wanaume mliolala pono.
Nilikuwepo,, SONKO.
 
Andika vizuri...ndo maana waligoma kukufundisha
 
Vijana tafteni hela. Mapenzi ni kupoteza muda. Sina mengi na nimeishia hapo
 
Mimi naona miyeyusho tu hapa inaendelea
 
Kusanya hela mdogo wangu, hayo maneno yao wakiona hela wanaufyata mdomo vizuri kabisa. Na wana nidhamu ya kutosha.
Ukikosa hela wanakudharau waziwazi ,hawaoni hata aibu na huruma. Kusanya mkwanja inatosha.
 
Kweli kbsaa wife materials wapo weng san hao wanaoongelewa ni wanawake wa dot com washapita kwa wengi wanajua ladha nyng na mambo meng ila kuna ambao akili zao hazifikirii uo ujinga kwamb mwanaume awe anamridhisha kila sehem kimuonekano, kimahitaj na kiuchumu ila wanapenda mtu mpambanaji ambae wanaweza kujenga nao maish ila sio show offs za hovyo na huk hat akipewa mtaji kuuendeleza hawezi zaid ya kutak kuspend tu mihela.
 
Na bado mtapovuka sana, kwa akili gani mlizonazo sasa!! Hadi mzikumbuke mlipoziacha.
 
 

Attachments

  • VID-20210916-WA0013.mp4
    6.3 MB
Hilo Ndiyo Ukisikia Zimwi Likujualo

Yaani Wakifika Vyuoni Wanarudi Home Wakikataa Hali Halisi Hapo SSasa Ndiyo Anguko
Hilo Ndiyo Ukisikia Zimwi Likujualo

Yaani Wakifika Vyuoni Wanarudi Home Wakikataa Hali Halisi Hapo SSasa Ndiyo Anguko
Hilo Ndiyo Ukisikia Zimwi Likujualo

Yaani Wakifika Vyuoni Wanarudi Home Wakikataa Hali Halisi Hapo SSasa Ndiyo Anguko
Atari sana ndugu zanguni tuchape kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…