Zee Korofi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 1,604 Reaction score 1,430 Feb 1, 2022 #101 Sandali Ali said: Leo ndio nimejua kuwa hawa vijana hawaendi gym ili kuimarisha afya yao bali kuandaa mazingira ya kuzini Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we' mzee mwenzangu wewe.
Sandali Ali said: Leo ndio nimejua kuwa hawa vijana hawaendi gym ili kuimarisha afya yao bali kuandaa mazingira ya kuzini Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we' mzee mwenzangu wewe.
Zee Korofi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 1,604 Reaction score 1,430 Feb 1, 2022 #102 park don said: Wanaume tumekufa akili kabisa hatuna ujanja. Kisa! Tunataka sana ngono. Hapa nlishtuka mapema Click to expand... Upo kama mimi
park don said: Wanaume tumekufa akili kabisa hatuna ujanja. Kisa! Tunataka sana ngono. Hapa nlishtuka mapema Click to expand... Upo kama mimi
Zee Korofi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 1,604 Reaction score 1,430 Feb 1, 2022 #103 JABALI LA KARNE said: Wanawake wapo wengi sana, wake bora, mama bora na walezi bora wa watoto. Acha kutaka sifa kuwa una demu mkali mjanja mwenye tako utawaona wengi tu. Click to expand... Mzee umenitoa chozi kwa hii comment yako
JABALI LA KARNE said: Wanawake wapo wengi sana, wake bora, mama bora na walezi bora wa watoto. Acha kutaka sifa kuwa una demu mkali mjanja mwenye tako utawaona wengi tu. Click to expand... Mzee umenitoa chozi kwa hii comment yako
JABALI LA KARNE JF-Expert Member Joined Apr 19, 2021 Posts 3,093 Reaction score 5,850 Feb 1, 2022 #104 Zee Korofi said: Mzee umenitoa chozi kwa hii comment yako Click to expand... Mtu mzima akilia kuna jambo mkuu.
Zee Korofi said: Mzee umenitoa chozi kwa hii comment yako Click to expand... Mtu mzima akilia kuna jambo mkuu.
Zee Korofi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 1,604 Reaction score 1,430 Feb 1, 2022 #105 Matola said: Wewe ni mwanaume au mvulana? Click to expand... Hapo unafeli! Unaleta u#nge, si kila thread lazima uchangie
Matola said: Wewe ni mwanaume au mvulana? Click to expand... Hapo unafeli! Unaleta u#nge, si kila thread lazima uchangie
Zee Korofi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 1,604 Reaction score 1,430 Feb 1, 2022 #106 Mafiningo said: Kusanya hela mdogo wangu, hayo maneno yao wakiona hela wanaufyata mdomo vizuri kabisa. Na wana nidhamu ya kutosha. Ukikosa hela wanakudharau waziwazi ,hawaoni hata aibu na huruma. Kusanya mkwanja inatosha. Click to expand... Una akili timamu? Halafu mbona mnakurupuka hovyo kujibu thread? Umeelewa thread?
Mafiningo said: Kusanya hela mdogo wangu, hayo maneno yao wakiona hela wanaufyata mdomo vizuri kabisa. Na wana nidhamu ya kutosha. Ukikosa hela wanakudharau waziwazi ,hawaoni hata aibu na huruma. Kusanya mkwanja inatosha. Click to expand... Una akili timamu? Halafu mbona mnakurupuka hovyo kujibu thread? Umeelewa thread?