Karibu kwenye jukwaa la utani
Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We bavicha acha ushamba
[emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Katoka Shirati Tarime huyo hajui Utani!
Mwambi asitambie simu mpaka apate simu itakayo brush viatu ndo aje kutamba hapa.UnaIphone au Galaxy 6 7 lakini haupo VP JF uko na sisi kina mulika mwizi upande wa pili bado wanakuona choko tu
Galaxy 6 eenhh...Ni haki kweli hii wakuu?
Kweliii mkuu tutengewe sehemu yetu... Haiwezekani kabisa tuchangie sehemu moja na wenye vi-Tecno na vi-itel vya kichina.. Tujitengeni na I phones zetuNi haki kweli hii wakuu?
Japo natumia tecno Ila naitumia kwasababu nipo kwenye economy crisis Ila nikiwa vizuri siwezi tumia tacno. SababuTecno p3
Kwani na wewe una tecno mkuu?
Una ki-Itel nini?????.... Uza figo bro upate pesa ukanunue IPhone tecno mpaka lini bro... Wewe teatea tuu karne ya 21 hiiMkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
Yap mkuu Ila game imebana that's Y Ila nikirudi juu nampa mjomba nantumbo awakimbize machinga.Japo natumia tecno Ila naitumia kwasababu nipo kwenye economy crisis Ila nikiwa vizuri siwezi tumia tacno. Sababu
1.tecno na itel zinatengenezwa na wachina watoto wenye age between 5-9
Siyo haki kabisaNi haki kweli hii wakuu?
Mhmm!! U mean form four failure!?Sijui kwann mnabishana nahuyu form four fairly
Ha ha haa... watu mnatoka povu wakati jamaa alikuwa anatania. Mtoa mada eeh bwana zinachanganyikana na ni haki pia. Sasa utakuta mtu ana smartphone ya kawaida ila ame assign signature "Sent from My Samsung S7" kumbe techno y3+....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kazi kweli kweli!Pofu limetoka mbaya kwenye hii mada duuuuuuh,, Ila sio haki kweli simu ya 3 million uchanganye message na techno ya elf 65 au 90