Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

ukiona mtu anajivunia ka iphone kupita kiasi ujue alikapata kwa mbinde au hata kiboga kilimhusu kabisaa!!! continue to brag on this, then you reveal the way you got it!!!
 
UnaIphone au Galaxy 6 7 lakini haupo VP JF uko na sisi kina mulika mwizi upande wa pili bado wanakuona choko tu
Mwambi asitambie simu mpaka apate simu itakayo brush viatu ndo aje kutamba hapa.
 
Ni haki kweli hii wakuu?
Kweliii mkuu tutengewe sehemu yetu... Haiwezekani kabisa tuchangie sehemu moja na wenye vi-Tecno na vi-itel vya kichina.. Tujitengeni na I phones zetu
 
Mkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
Una ki-Itel nini?????.... Uza figo bro upate pesa ukanunue IPhone tecno mpaka lini bro... Wewe teatea tuu karne ya 21 hii
 
Japo natumia tecno Ila naitumia kwasababu nipo kwenye economy crisis Ila nikiwa vizuri siwezi tumia tacno. Sababu
1.tecno na itel zinatengenezwa na wachina watoto wenye age between 5-9
Yap mkuu Ila game imebana that's Y Ila nikirudi juu nampa mjomba nantumbo awakimbize machinga.
 
Ha ha haa... watu mnatoka povu wakati jamaa alikuwa anatania. Mtoa mada eeh bwana zinachanganyikana na ni haki pia. Sasa utakuta mtu ana smartphone ya kawaida ila ame assign signature "Sent from My Samsung S7" kumbe techno y3+....
 
Pofu limetoka mbaya kwenye hii mada duuuuuuh,, Ila sio haki kweli simu ya 3 million uchanganye message na techno ya elf 65 au 90
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kazi kweli kweli!

Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom