Sabrigas Mobeji
Member
- Sep 1, 2016
- 71
- 42
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Huu utani naona utakuwa wa ngumi [emoji125][emoji125][emoji125]Kaombewe We jamaa si mzima
ha ha ha haaa...haya bwana mkuu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Kazi kweli kweli!
Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
Ipo siku wenye m v8 watauliza ina maana na sisi wenye V8 tunatumia same roads na wenye vi passo na vits na ist. This is not fair[emoji38][emoji38][emoji38]Sawa mkuu, ndo maana kuna watu hununua gari la hadhi ya juu, na mwingine ananunua ilimradi usafiri [emoji1]
Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
Mkuu fairly ndiyo nini na wewe utakuwa umefail wapi.Sijui kwann mnabishana nahuyu form four fairly
Siku hizi laptops bei rahisi kuliko simu ambazo ni flagshipWatu wanatumia computer ila wako kimya ww na sumssang yako unapata wp jeuri hiyo
Hebu toa hiyo Huawei hapo tusitafutane ubaya.Mkuu acha dharau ka Vip kafungue Jf yenu ya Samsung iPhone zenu ,si mtuache na tecno na itel naongezea na Huawei ! Kwani vocha unayo nunua inazwa kwa usd ?mb ni hizo nane tu na iPhone yako na Samsung Galaxy 6
bahati yako siku hizi BAN ni out outNi haki kweli hii wakuu?
Ni haki kweli hii wakuu?
Bavicha ndo wajaja wa town,ma uvccm ndo akili zao kama za Mleta mada.We bavicha acha ushamba
hata mi nashangaa, tena sio ilimradi I phone, tunazungumzia I phone 7 na sisi tuweke post zetu humuhumu kwenye tecno..!Ni haki kweli hii wakuu?
Kwahiyo una tecno na umechanganya Uzi wako Humu?mizozo mingine ya kupoteza mda, japo na mimi genuine i have my own iphone anayeleta mada sidhani kama alifikiria na kama alifikiria halmashauri ya ubongo wake haipo sawa ana ushamba wa simu hv apps gani utakayodownload kwenye samsung device ikagoma kwenye tecno au messanger ya kwenye samsung ina tofauti gani na ya kwenye tecno huo tunaita ni ulimbukeni wa smartphonee Raykidd de follow me