Aha haha la la la la sijui hizi Hasira zinatoka kwa mada hii tu au kuna catalystHa ha haa... watu mnatoka povu wakati jamaa alikuwa anatania. Mtoa mada eeh bwana zinachanganyikana na ni haki pia. Sasa utakuta mtu ana smartphone ya kawaida ila ame assign signature "Sent from My Samsung S7" kumbe techno y3+....
Ndio mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu wahaya wameongezeka,yan unataka JF iweke nafasi za post VIP kwa watu wanaotumia Simu za Samsung na iPhone[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni vita ya biashara mkuu, don't take them seriously.View attachment 415413Kweli inabidi mjiondoe JF maana simu zenu hizo hazitachelewa KUTULIPUKIA,natesa na Tecno Phantom kwa raha zang NO STRESS endeleen kutesa na MABOMU yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
kwaio kuna simu ina gharama kushinda nyumba,wewe nae ndio unaona umefikiria,kwaio asinunue simu akajenge,kweli?
ndio maana hawaachi kututukana kuwa black is not a color..
Nenda kwa mafundi simu kariakoo ujionee itel kwa mafundiView attachment 415413Kweli inabidi mjiondoe JF maana simu zenu hizo hazitachelewa KUTULIPUKIA,natesa na Tecno Phantom kwa raha zang NO STRESS endeleen kutesa na MABOMU yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3]