Hivi TANAPA nao wana makomando?

Hivi TANAPA nao wana makomando?

Hao wakipelekwa kozi ya jeshi wote wanakimbia. Walichofanya ni kuiga style ya jeshi kwenye maonesho ya sherehe za kitaifa. Ni kama polisi kuna clip moja walikuwa wanamwagiana maji halafu wanatamka neno "commando" kwa kurudia rudia kumbe ni ffu tu.

Kwa ufupi wanatamani sana mambo ya jeshi ndio hivyo wako upande mwingine tu na wanatakiwa kuzikubali kazi zao waache kijilinganisha na kazi za watu wasizozijua zinafanywaje.
 
Umewaonea sana.
 
Mkuu mbona mdau mmoja kasema wanamafunzo makali sana
 
Hao wakipelekwa kozi ya jeshi wote wanakimbia. Walichofanya ni kuiga style ya jeshi kwenye maonesho ya sherehe za kitaifa. Ni kama polisi kuna clip moja walikuwa wanamwagiana maji halafu wanatamka neno "commando" kwa kurudia rudia kumbe ni ffu tu.

Kwa ufupi wanatamani sana mambo ya jeshi ndio hivyo wako upande mwingine tu na wanatakiwa kuzikubali kazi zao waache kijilinganisha na kazi za watu wasizozijua zinafanywaje.
Mkuu tema mate chini,FFU ni jeshi lile sema wana deal na raia. FFU wanapewa mafunzi ya kijeshi 100% na wanafanya mazoezi ya utayari kila mara. We huoni hata Rais analindwa na FFU basala ya JW?
 
Kuni na miti zipo polini, gogo na gesi la nini, panga shoka ni mbadala wa hivyo vikubwa na vizito bila sababu.
Sio Mchezo ndio makomandoo wetu hao mwenzio alikula Kofi kwenye msiba wa Mzee Ngoyai akazima hakuamka mpaka msiba umeisha
 
Commando sio kubeba mabegi mengiiii

Hata huko Jeiwii hakuna makomandoo wapo wapasua mawe
Hawajifunzi kwa IDF? huko huwez Kuta Komando kajazia kama mabaunsa wa club
Hao wakipelekwa kozi ya jeshi wote wanakimbia. Walichofanya ni kuiga style ya jeshi kwenye maonesho ya sherehe za kitaifa. Ni kama polisi kuna clip moja walikuwa wanamwagiana maji halafu wanatamka neno "commando" kwa kurudia rudia kumbe ni ffu tu.

Kwa ufupi wanatamani sana mambo ya jeshi ndio hivyo wako upande mwingine tu na wanatakiwa kuzikubali kazi zao waache kijilinganisha na kazi za watu wasizozijua zinafanywaje.
Hata hao wa TIpidiefu pia wanatamani kuwa ma commando ila ndio wanaishia kuigiza kuwa ma Komando.
 
Back
Top Bottom