Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa.
Unakatika haipiti hata dakika wanawasha.
Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.