Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

CCM
 
Tanzania inamilikiwa na CCM, CCM nayo ni mali ya kikundi fulani cha watu ambao pia ndio dola.
 
Nimegoogle hapa wamesema Mo dewji ndio mmiliki wa Tz hahaha
 
Inamilikiwa na Mfalme wa Msoga!
 
Yapo mengi ya kutafakari hapa lakini nikaishia kucheka tu 😂😂 !
 
Jitahidi ujue nimashart gani walitupa walipo tupa inchi

Ndipo utagundua bado hatuko huru
Ila tuna danga nywa na wachache walio pata Uhuru kidogo japo nao bado hawako huru

Nikama nyampara gerezani anavyo mchapa viboko mfungwa na maabusu lakini mwisho wa siku nae nimke wa bwana jera😡😡😡
 
Ukiandika google "who is the owner of Tanzania" jibu linakuja hili👇🏾

Mkuu soma vitabu upate maarifa, mambo mengine ni vyema kutokujihangaisha nayo maana hata siku ukijua(kama haujui kwel) itakusaidia au itakuongezea mawazo? Jifinze "nyakati nyingine kutokujua baadhi ya mambo ni kwa ajiri ya afya yako mkuu"
 
Naona ni watu wachahe sana ndo wenye kumiliki watanzania
 
1. JK na familia yake.
2. Kinana.
3. Mzee Makamba
4. January
5. Nape
6. Familia ya GSM
 
Mkuu soma vitabu upate maarifa, mambo mengine ni vyema kutokujihangaisha nayo maana hata siku ukijua(kama haujui kwel) itakusaidia au itakuongezea mawazo? Jifinze "nyakati nyingine kutokujua baadhi ya mambo ni kwa ajiri ya afya yako mkuu"
Sasa kama hutaki kujua kwenye vitabu unafuata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…