Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Acha ubaguzi wa rangi mtanzania ni mtanzania tu, huyo mweusi akipatukana atakusaidia niniInfluencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Ubaguzi wa namna gani, hao(wahindi&waarabu)wewe ushawahi ona wakijiita watanzania au waafrika?Acha ubaguzi wa rangi mtanzania ni mtanzania tu, huyo mweusi akipatukana atakusaidia nini
Serikali ya Zanzibar inazidi kuzama mikononi mwa raia feki ..huku wazanzibar wabantu wakitumika bila ya kutambua ...sasa hivi waarabu ni wengi sana serikalini tena wana genge lao la kufanya state capture mbaya sana ...Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Ulitaka wajiite wapi na kivipi, MO ameshakuwa mbunge wa Singida, Shabiby ni mbunge wa Gairo, Rostam alishawahi kuwa mbunge wa Igunga, Abood ni mbunge wa Morogoro mjini, acheni upuuzi hata babu zako hawakuwa watanganyika unaweza kuta mababu zake Abood walitangulia kufika nchini kuliko babu zako, pili wanawazidi akili ndiyo maana mna mawazo ya kipuuzi na wanawazidi utajiriAcha ubaguzi wa rangi mtanzania ni mtanzania tu, huyo mweusi akipatukana atakusaidia nini
Mkuu mbona unawatetea kwa wivu mkubwa sana hao jamaa au nawewe ni mmoja wao.Ulitaka wajiite wapi na kivipi, MO ameshakuwa mbunge wa Singida, Shabiby ni mbunge wa Gairo, Rostam alishawahi kuwa mbunge wa Igunga, Abood ni mbunge wa Morogoro mjini, acheni upuuzi hata babu zako hawakuwa watanganyika unaweza kuta mababu zake Abood walitangulia kufika nchini kuliko babu zako, pili wanawazidi akili ndiyo maana mna mawazo ya kipuuzi na wanawazidi utajiri
Ubaguzi upo wapi hapo ?Acha ubaguzi wa rangi mtanzania ni mtanzania tu, huyo mweusi akipatukana atakusaidia nini
achana nae, hakuna sehemu nimebagua mtu, nimetumia muonekano wao, mtu mrefu anaitwa mrefu mtu mfupi anaitwa mfupi sijui ye alitaka niwaiteje?Ubaguzi wa namna gani, hao(wahindi&waarabu)wewe ushawahi ona wakijiita watanzania au waafrika?
Hueleweki anko umeelewa? Tunaongolea mtu tajiri mweusi hao ni weusi? Hata wao ukiwaita weusi watakupiga, mi nimetumia muonekano wao wa nje basi kamutie gsm mweusi upasuliwe mkuu, acha kujipendekeza kaka huo ni ujinga kisa umepewa efu Saba tayari ushaachia mpasuoUlitaka wajiite wapi na kivipi, MO ameshakuwa mbunge wa Singida, Shabiby ni mbunge wa Gairo, Rostam alishawahi kuwa mbunge wa Igunga, Abood ni mbunge wa Morogoro mjini, acheni upuuzi hata babu zako hawakuwa watanganyika unaweza kuta mababu zake Abood walitangulia kufika nchini kuliko babu zako, pili wanawazidi akili ndiyo maana mna mawazo ya kipuuzi na wanawazidi utajiri
Nimekashtukia haka kajamaa, ni kamoja kao hahaaaAa, alafu hao wasinge kuwa wabaguzi wasinge kuwa wanakataa watoto wao wasiolewe na wabantuMkuu mbona unawatetea kwa wivu mkubwa sana hao jamaa au nawewe ni mmoja wao.
Hapo kwenye kutuzidi akili ondoa.
Ukute babu yake kabla hajahamia kutoka West Africa kuja Tanganyika, babu zake kina MO walikuwa tayari wapo Afrika Mashariki. Halafu analeta Mdomo 😁Ulitaka wajiite wapi na kivipi, MO ameshakuwa mbunge wa Singida, Shabiby ni mbunge wa Gairo, Rostam alishawahi kuwa mbunge wa Igunga, Abood ni mbunge wa Morogoro mjini, acheni upuuzi hata babu zako hawakuwa watanganyika unaweza kuta mababu zake Abood walitangulia kufika nchini kuliko babu zako, pili wanawazidi akili ndiyo maana mna mawazo ya kipuuzi na wanawazidi utajiri
Ubaguzi ni tabia ya mtu na si kikundi cha watu Fulani, yule dogo alienda kucheza mpira Morocco alikua akiingia kwenye swimming pool waarabu wote wanatoka anajikita pekee yake, Simon msuva alidai pesa zake mpaka basi tu uarabuni sio poa ila natetea Kuna waarabu poa sana na wahindi poa kuliko hata wabongoIla watu weusi tungekuwa na pesa za watu weupe inawezekana tungekuwa wabaguzi wa rangi sana. Hizi dalili nimeziona sehemu nyingi mno.
Chris lukosiInfluencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Hakuna alie baguliwa sijui hasira zenu zatoka wapiUkute babu yake kabla hajahamia kutoka West Africa kuja Tanganyika, babu zake kina MO walikuwa tayari wapo Afrika Mashariki. Halafu analeta Mdomo 😁
Namna ulivyopresent hoja tayari kuna kaubaguzi wala hata hamna haja ya kubisha, wao wenyewe wana ubaguzi, and it's true Wao ni waTanzania weupe na kuna sisi waTanzania weusi na linapokuja suala la fursa na race, sidhani kama fursa wanazigawa kwa level sawa na waTanzania weusi.Ubaguzi upo wapi hapo ?