Hivi Tanzania itakuja pata tajiri namba moja mweusi, atakuwa nani?

Hivi Tanzania itakuja pata tajiri namba moja mweusi, atakuwa nani?

Nyani bwana, huwez kuwa tajir vizaz na vizaz kwa kutegemea wizi wa serikalini na kutolipa kodi

Na hakuna biashara nyani anaweza fanya kwa miaka 50+ na ikasimama, akifa pioneer na warithi wanauza na kuhonga mademu wenye Makebo makubwa.

Hapo ndo mwisho wa mchezo lkn hawa kanjibai na kobaz wanarithishana vizaz na vizaz

Ukijua hili huwez shangaa kuona wao ndo madon

Mfano wa karibuni ni SAULI tajir wa chunya
Kaka huwezagi kuongea bila kukashifu eti nyani😆😆😆😆🇹🇿🇹🇿 alafu huyo Saul si ndo yule wamabadi mbona nae yalimshinda Hadi kufilisika anakimbilia kilimo au nimechanganya na samli sijui
 
Atatoka kanda yoyote akiwa na mtazamo wa pan african exports.

Jamaa kaona mbali sana.
He was a True Visionary ,

Sema he is Too empathetic, au kusema alikuwa (na intellectual humility,

Modern world haifanyi kazi hivyooo, inahitaji iron fists , alianzisha CEORT CEOs RoundTable, ALI (Africa leadership Initiative) aliamini katika utawala bora na sheria ,
Executing his visions Require institutional backup 100 percent , With the late JPM wangefanya mambo makubwa sanaa,
 
Jamaa alikuwa kichwa sana aisee!
 
Acha ubaguzi wa rangi mtanzania ni mtanzania tu, huyo mweusi akipatukana atakusaidia nini
Sio ubaguzi ni uhalisia, kama hao watu weupe kwenye nchi zao hawawezi kuwapa kipaumbele watu weusi sasa kwanini sisi Katika nchi zetu tuwape kipaumbele?.

Hakuna usawa wala si ubaguzi bali uhalisia ambao ni mchungu, kuruhusu watu wa race/jamii za mbali kuutawala uchumi wa nchi yako ni hatari kwa maslahi ya nchi, ndiomaana hii nchi kila mahala wamejaa wageni wakimiliki resources ambazo wewe mzawa halisi mtu mweusi si rahisi.

Kuna madili ni ngumu kuyapata sababu wamejazana wao na bila kuwa sehemu ya jamii yao huwezi kutoboa, na hata ukijaribu utaishia kuwa chawa wao wa kutumikishwa then unatupwa.

Tujifunze kwa wenzetu, China ni miliki ya wachina, uarabuni kote huko uchumi unamilikiwa na waarabu then wachache wa mataifa ya nje, ukienda huko kwa waisrael feki ndiko balaa mtu wa tofauti na jamii yao huwezi kuwa na nafasi kubwa ya kiuchumi zaidi yao, nenda Russia kote mpaka mataifa ya ulaya na Marekani uchumi hushikwa na wazawa halisi.

Tanzania na Afrika bila kuwapa nafasi weusi wenzetu japo huwa tunazingua, ila si rahisi nchi zetu kuendelea kwa chumi zetu kumilikiwa na wageni, hawa wako kimaslahi tu.

Africa is for black people
 
Hilo linawezekana kama tutaacha ubinafsi na roho mbaya,na kuamua kufanya kama wafanyavyo hao weupe,
Wealth generation au Generational wealth building ndio njia pekee ya kufika huko,

Makampuni au biashara nyingi za wamatumbi hazina Succession plan,haiwezekani mtu mmoja afe halafu biashara nayo ife,
Tataizo linaanzia hapa,utajiri ni mipango,

Your dream doesn't need permission,it needs YOU.
 
Jamaa alikuwa kichwa sana aisee!
Ndiyo mkuu Kichwa na Nusu ,

Kinachovutia zaidi Haiba yake Ya upole/unyenyekevu na Namna Akili yake inavyofanya kazi, uwezo wake wa kufikiri, fuatilia Ted Talk Zake
 
Hilo linawezekana kama tutaacha ubinafsi na roho mbaya,na kuamua kufanya kama wafanyavyo hao weupe,
Wealth generation au Generational wealth building ndio njia pekee ya kufika huko,

Makampuni au biashara nyingi za wamatumbi hazina Succession plan,haiwezekani mtu mmoja afe halafu biashara nayo ife,
Tataizo linaanzia hapa,utajiri ni mipango,

Your dream doesn't need permission,it needs YOU.
Biashara nyingi za sisi wamatumbi hazina Taarifa sahihi, Inventory management sifuri, Kodi, suppliers ana control mzee, Debtors ,creditors , Debts, assets (kifupi mtu mmoja ndoa anacontrol kila kitu ) invaded ukipewa Hizo biashara hata kama zina thamani ya mabilioni bila taarifa sahihi Zinakufa once They are dead,

Decentralization of power and Information is crucial when building an empire
 
Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.

Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Mnawabana sana kwenye kodi ilihali hao waarabu na wahindi mnawaacha kuwabana kwenye kodi.....kwa hali iyo usitegemee kama utampata mweusi
 
Back
Top Bottom