Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Ukibaguliwa na wewe bagua, tunavyolia lia ndo wanavimba kichwa. Kama mende akimgusa binadamu anaona kachafuka sembuse mtu mweusi na mwarabu sijui mhindi? Mbagulie mbali huko.Ubaguzi ni tabia ya mtu na si kikundi cha watu Fulani, yule dogo alienda kucheza mpira Morocco alikua akiingia kwenye swimming pool waarabu wote wanatoka anajikita pekee yake, Simon msuva alidai pesa zake mpaka basi tu uarabuni sio poa ila natetea Kuna waarabu poa sana na wahindi poa kuliko hata wabongo