Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
MarrrrrraaaanguChris lukosi
MarrrrrraaaanguChris lukosi
Wao kwao wanawabagua alafu kwenu muwachekee hizo akili au matope?Ubaguzi ni tabia ya mtu na si kikundi cha watu Fulani, yule dogo alienda kucheza mpira Morocco alikua akiingia kwenye swimming pool waarabu wote wanatoka anajikita pekee yake, Simon msuva alidai pesa zake mpaka basi tu uarabuni sio poa ila natetea Kuna waarabu poa sana na wahindi poa kuliko hata wabongo
Huyu atakuwa ''hana chogo'' hawa wenye visogo flat screen wanawahusudu sana waarabu na wahindi wakati wao ni malofa wa kutupwa,kutwa kushindia boflo.Ubaguzi wa namna gani, hao(wahindi&waarabu)wewe ushawahi ona wakijiita watanzania au waafrika?
Yatokee kihalali hayo matabaka sio kufosiwa kuwepo mbongo yeyote akionekana kurise wanamfanyia figisu nia na madhumuni tuendelee kuwa maskini kwenye nchi yetu mfano, kyando wa kiwanda cha nyavu za uvuviJifunze kucheza mchezo, usimchukie mchezaji!
Matabaka yapo tu na ni asili.
HahahahahaaaaaMarrrrrraaaangu
Hahahaha marranguHahahahahaaaaa
*baadhiWewe ni kichaa, historia inaonyesha baadhi ya makabila yapo kiasili tangu kuumbwa kwa dunia tofauti na hao walowezi wa juzi juzi tu
Jay ruttyInfluencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Bila shaka itakuwa ni mimi hapa!Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Sidhani mo anampango wakuwekeza bilioni mia tano kwenye UNGA wa sembe tu, huyo jayrutty ana walau bilioni mia cash bank?Jay rutty
Kweli kaka in short hamnaAlikuwa Reginald Mengi itachukua muda sana kupata mwingine ambaye hayupo kwenye mfumo wa serikali
Vizuri kaka jikubali tuBila shaka itakuwa ni mimi hapa!
Nimecheka ******* huyu ambae , mhh ngoja ninyamazeMaxence Melo huyu ndio atakua tajiri namba moja Tanzania.