Ukibaguliwa na wewe bagua, tunavyolia lia ndo wanavimba kichwa. Kama mende akimgusa binadamu anaona kachafuka sembuse mtu mweusi na mwarabu sijui mhindi? Mbagulie mbali huko.Ubaguzi ni tabia ya mtu na si kikundi cha watu Fulani, yule dogo alienda kucheza mpira Morocco alikua akiingia kwenye swimming pool waarabu wote wanatoka anajikita pekee yake, Simon msuva alidai pesa zake mpaka basi tu uarabuni sio poa ila natetea Kuna waarabu poa sana na wahindi poa kuliko hata wabongo
Maisha hayataki hivo tuishi Kwa upendo, nikama ndugu zetu wazanzibari, ukikutana nao Zanzibar wao ni wazenji eti ukiwakuta bara ukawatambulisha wao ni wazenji au wapemba ana kununia eti we mbaguzi umembagua dah, maisha hayaUkibaguliwa na wewe bagua, tunavyolia lia ndo wanavimba kichwa. Kama mende akimgusa binadamu anaona kachafuka sembuse mtu mweusi na mwarabu sijui mhindi? Mbagulie mbali huko.
Believe me Chris lukos atakuwa. Mcheki chini kwenye Video.Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Ubaguzi wa namna gani, hao(wahindi&waarabu)wewe ushawahi ona wakijiita watanzania au waafrika?
Jifunze kucheza mchezo, usimchukie mchezaji!Mkuu mbona unawatetea kwa wivu mkubwa sana hao jamaa au nawewe ni mmoja wao.
Hapo kwenye kutuzidi akili ondoa.
Nasikia JK naye hashikikiLugumi kaiba pesa lukuki,
Rest In Peace Ali mufuruki,
tusidanganywe na Chris Mauki.
Mkuu, upendo gani? Ukibaguliwa na wewe bagua hakuna upendo kwa asiye kupenda. Upendo ni kwa anayerudisha upendo. Biashara gani hiyo mimi nikupende wewe unibague? Huo upendo au uzezeta?Maisha hayataki hivo tuishi Kwa upendo, nikama ndugu zetu wazanzibari, ukikutana nao Zanzibar wao ni wazenji eti ukiwakuta bara ukawatambulisha wao ni wazenji au wapemba ana kununia eti we mbaguzi umembagua dah, maisha haya
Kinachomfanya asipende kiki,Nasikia JK naye hashikiki
Ana mkwanja sema hataki kiki
Anyway, tuombe Mungu atubariki.
Hahaaaa, umetisha.Kinachomfanya asipende kiki,
ni kuwa katika ufisadi alishiriki,
na pesa kuzificha uswisi na uturuki,
huu☝️ ni ukweli japo mtasema ninachuki.
Kila race ni wabaguzi sema tu afrika hatuna cha kujivunia kwenye anga za kidunia ndio maana tunajiona sisi sio wabaguzi. Ukitaka kujua ilo angalia uahenzi tunaofanyiana wenyewe kwa wenyeweIla watu weusi tungekuwa na pesa za watu weupe inawezekana tungekuwa wabaguzi wa rangi sana. Hizi dalili nimeziona sehemu nyingi mno.
Mimi sioni ubaguzi wowote kwa kweli. Shida ni chuki zetu za kijinga.Ukibaguliwa na wewe bagua, tunavyolia lia ndo wanavimba kichwa. Kama mende akimgusa binadamu anaona kachafuka sembuse mtu mweusi na mwarabu sijui mhindi? Mbagulie mbali huko.
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia kubwa mno.Kila race ni wabaguzi sema tu afrika hatuna cha kujivunia kwenye anga za kidunia ndio maana tunajiona sisi sio wabaguzi. Ukitaka kujua ilo angalia uahenzi tunaofanyiana wenyewe kwa wenyewe
Wanasiasa wengi utajiri wao ukiwekwa hadharani huyo dangote mbona mchumba tu. Mtu kama PK unaambiwa karinu kila maeneo ya nchi zenye madini kuna mkono wakeNasikia JK naye hashikiki
Ana mkwanja sema hataki kiki
Anyway, tuombe Mungu atubariki.
Kabisa mkuu. Sahihi sana.Kila race ni wabaguzi sema tu afrika hatuna cha kujivunia kwenye anga za kidunia ndio maana tunajiona sisi sio wabaguzi. Ukitaka kujua ilo angalia uahenzi tunaofanyiana wenyewe kwa wenyewe
Binadamu wote tuna ubaguzi tu kama anavyosema Natafuta Ajira ila tofauti ni sisi hatuna na cha kuwabagua nacho ila tuna ubaguzi ndo maana zipo sheria. Hapa kwetu tu, pasingekuwa na sheria sehemu ambayo bosi ni mchaga ungekuta wachaga watupu, ukija muha sijui mbena figisu sema sheria zinasaidia.Mimi sioni ubaguzi wowote kwa kweli. Shida ni chuki zetu za kijinga.
Kama ni ajira, watanzania weusi wanaajiriwa sana tu kwenye makampuni yao.
Kama ni ndoa, kuna suala la cultural integration. Watanzania weusi hatuwezi hii kitu. Waasia wengi wanaishi kwenye extended families, wanathamini sana elimu, ni washia na wahindu hivyo wana itikadi kali za kidini. Mweusi hawezi akapokea hizo tamaduni.
Kama ni kuwa na connection serikalini, ndo ubepari wenyewe. Hata weusi wanazo, na wanazitumia vibaya.
ROSTAM AZIZI AKIWA HAI NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI KAMWE AWAWEZI KURUHUSU WABANTU KUWA MATAJIRI ISIPOKUWA MAPAPETI WAO KAMA MSOGA GANG TUInfluencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe.
Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi Tanzania?
Hao sio waafrika achilia mbali watanzania na wao wanalijua hilo, wapo hapa kuvuna tu, wamejipenyeza kwenye ngazi za maamuzi ili kulinda maslahi yao tu muhindi/mwarabu awe na uchungu na mwafrika mpka awe mbunge/waziri umeona wapi?.sisi waafrika ndio tulifika hapa kabla yao wao ni walowezi tu hapa na kuna makabila historia haioneshi kama walitoka kokote it means ni wenyeji wa hapa kiasili kwa hiyo sisi ni wazawa na wao ni walowezi na watabaki hivyo mpaka mwisho wa duniaUlitaka wajiite wapi na kivipi, MO ameshakuwa mbunge wa Singida, Shabiby ni mbunge wa Gairo, Rostam alishawahi kuwa mbunge wa Igunga, Abood ni mbunge wa Morogoro mjini, acheni upuuzi hata babu zako hawakuwa watanganyika unaweza kuta mababu zake Abood walitangulia kufika nchini kuliko babu zako, pili wanawazidi akili ndiyo maana mna mawazo ya kipuuzi na wanawazidi utajiri
Huyo ni mlowezi na sasa wanataka kutuaminisha sisi(waafrika) ni wageni alafu wao ndio wenyejiMkuu mbona unawatetea kwa wivu mkubwa sana hao jamaa au nawewe ni mmoja wao.
Hapo kwenye kutuzidi akili ondoa.
Wewe ni kichaa, historia inaonyesha baadhi ya makabila yapo kiasili tangu kuumbwa kwa dunia tofauti na hao walowezi wa juzi juzi tuUkute babu yake kabla hajahamia kutoka West Africa kuja Tanganyika, babu zake kina MO walikuwa tayari wapo Afrika Mashariki. Halafu analeta Mdomo 😁