Hivi Tanzania itakuja pata tajiri namba moja mweusi, atakuwa nani?

Wao kwao wanawabagua alafu kwenu muwachekee hizo akili au matope?
 
Nyani bwana, huwez kuwa tajir vizaz na vizaz kwa kutegemea wizi wa serikalini na kutolipa kodi


Na hakuna biashara nyani anaweza fanya kwa miaka 50+ na ikasimama, akifa pioneer na warithi wanauza na kuhonga mademu wenye Makebo makubwa.

Hapo ndo mwisho wa mchezo lkn hawa kanjibai na kobaz wanarithishana vizaz na vizaz

Ukijua hili huwez shangaa kuona wao ndo madon

Mfano wa karibuni ni SAULI tajir wa chunya
 
Sasa hapo kosa la mtoa mada ni lipi ni kweli hao ni watanzania but sio watanzania weusi na hiyo ni fact.
Kaangalie wake zao,wote ni wahindi na waarabu,hata huyo Mo nusu ya wafanyakazi wake ni wahindi.

Mtoa mada ni ngumu kupata tajiri wa kitanzania katika mfumo wa serikali kama yetu,alipoondoka Mengi kwa sasa hakuna tajiri mwingine.
 
Bila shaka itakuwa ni mimi hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…