kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Hakikisha kabla hujauliza uwe umesoma na kuelewa, nimeandika kuwa wapo ambao mpaka Leo wanatamba na wapo ambao wamepotea moja kwa mojaHawo wasanii uliowataja wapo wapi mbona hawasikiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha kabla hujauliza uwe umesoma na kuelewa, nimeandika kuwa wapo ambao mpaka Leo wanatamba na wapo ambao wamepotea moja kwa mojaHawo wasanii uliowataja wapo wapi mbona hawasikiki
Wanatumia studio yake/lebotop c, nyauloso c wasanii wa bob junior
Exactly, na wewe umeendelea kuwa on ponit kama kawaida.hujawahi kuniangusha kwenye tafakari!
kiba huwa anaamini watu wanamhitaji kuliko yeye anavyowahitaji!
ni kama vile watu ndio wanaoimba na yeye ndiye anayetakiwa kununua singo,kuview video zao,
so niwao wanatakiwa kumfollow na kumsifia na kumpa support ili asikilize mziki wao
huyo ndo kiba!
label ya naniWanatumia studio yake/lebo
Sharobaro records.label ya nani
sasa ulitaka atangaze mafanikio yake kama analea familia si unajua ali ana wanawake watatu wote anawajali ana nyumba pia ila kutokana na mpako unaofanyika wakutaka kumuua anaamua kukaa kwaohatuongelei kulipwa!
tumeongelea ubinafsi, na uchoyo
kiba ni mbinafsi, anajikweza kupita maelezo
ndio maana hata ben alimwambia kiba ni overrated!!
anasifiwa kuliko uwezo wake
mashabiki zake mnajitahidi sana kumweka juu..
ili hali mwenyewe hana habari wala hana shukrani!!
na kiba mashabiki zake ni anti diamond!
watu wasiopenda mafanikio ya diamond, hamna lolote
na huyo kiba hio ela madafu anayolipwa mpaka leo kaifanyia nini?
show mpaka mombasa kenya!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
em nieleleze manufaa ya kiba?!!! ndugu
Una uhakika gani ni wanaume wa dar.Wanaume wa dar mna shida kweli, mtu anakula kwake, humvishi, humlazi, humchangii chochote, unaanzaje anzaje kumjadili?!, isitoshe ana maisha yake binafsi, Mungu tu awanusuru
Unagongwa na nyigu kwel ww...mpor porule uchawi wa mafuvu ya watu ya huyoo msanii wenu anayejiita simba jike kwenye ofisi zake ndio unaowapeleka puta. unafki wa kiba niupi kusema ukweli msanii wako hayupo jukwaani we nyuma ya jukwaa kilicho kupeleka nini? izo dili za kuongea na cris zinafanyika nyumaa ya jukwaa ingekuwa daimond kayasema haya mgemkashifu? usilolijua huna hajaa ya kulishabikia
Huo weupe vipiHahaa muulize hanse......View attachment 415259
watoto hawa tumewazaa kubantu sasa wamekuwa weupe hataree we uitaka ufurahi uende clinic za uswazi vitoto vyeusiii kama mafuta ya bunduki mama zao wanaogopesha weupeee kheeeeeeeee no kama thelujiHuo weupe vipi
ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa banhahahaha not again!!!!!!!!!!! sweet heart kila siku unalimwa ban uwe mpole bass wacha utukutu![]()
PoaWe ni mwanaume wa buguruni bila shaka
we hamnazo kweli mr nice nyimbo yake ya mwisho katoa lini?? Watu washamsahau huyoSawa tumekuelewa ila huwa nashangaa why kiba kiba kiba humu anazungumzwa kama mwanamziki asiye na mafanikio lakini haishi kuanzishiwa mada kibao..kwanini isiwe Mr. Nice au Juma nature..
Aiseesi kweli,Wema mbona alimuwish...!!!
hater hance!bora alivyopigwa ban kwanza kwa uchochezi!!
ha ha ha walinipa ban bhanahuyu naye kapigwa ban?