Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Hawo wasanii uliowataja wapo wapi mbona hawasikiki
Hakikisha kabla hujauliza uwe umesoma na kuelewa, nimeandika kuwa wapo ambao mpaka Leo wanatamba na wapo ambao wamepotea moja kwa moja
 
hujawahi kuniangusha kwenye tafakari!
kiba huwa anaamini watu wanamhitaji kuliko yeye anavyowahitaji!
ni kama vile watu ndio wanaoimba na yeye ndiye anayetakiwa kununua singo,kuview video zao,
so niwao wanatakiwa kumfollow na kumsifia na kumpa support ili asikilize mziki wao
huyo ndo kiba!
Exactly, na wewe umeendelea kuwa on ponit kama kawaida.

Ahsante, kwa nice complement, i appricate it
 
hatuongelei kulipwa!
tumeongelea ubinafsi, na uchoyo
kiba ni mbinafsi, anajikweza kupita maelezo
ndio maana hata ben alimwambia kiba ni overrated!!

anasifiwa kuliko uwezo wake
mashabiki zake mnajitahidi sana kumweka juu..
ili hali mwenyewe hana habari wala hana shukrani!!
na kiba mashabiki zake ni anti diamond!
watu wasiopenda mafanikio ya diamond, hamna lolote

na huyo kiba hio ela madafu anayolipwa mpaka leo kaifanyia nini?
show mpaka mombasa kenya!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
em nieleleze manufaa ya kiba?!!! ndugu
sasa ulitaka atangaze mafanikio yake kama analea familia si unajua ali ana wanawake watatu wote anawajali ana nyumba pia ila kutokana na mpako unaofanyika wakutaka kumuua anaamua kukaa kwao
 
ule uchawi wa mafuvu ya watu ya huyoo msanii wenu anayejiita simba jike kwenye ofisi zake ndio unaowapeleka puta. unafki wa kiba niupi kusema ukweli msanii wako hayupo jukwaani we nyuma ya jukwaa kilicho kupeleka nini? izo dili za kuongea na cris zinafanyika nyumaa ya jukwaa ingekuwa daimond kayasema haya mgemkashifu? usilolijua huna hajaa ya kulishabikia
 
Wanaume wa dar mna shida kweli, mtu anakula kwake, humvishi, humlazi, humchangii chochote, unaanzaje anzaje kumjadili?!, isitoshe ana maisha yake binafsi, Mungu tu awanusuru
 
Wanaume wa dar mna shida kweli, mtu anakula kwake, humvishi, humlazi, humchangii chochote, unaanzaje anzaje kumjadili?!, isitoshe ana maisha yake binafsi, Mungu tu awanusuru
Una uhakika gani ni wanaume wa dar.
Kama wewe sio fan wa celebrities kaa pembeni. Wasanii wetu ni vioo vyetu vya jamii na sisi km mashabiki wao tunawasapot kwenye kazi zao na kuwashauri wanapokosea.

Wanaume wa dar kwa Ali kiba tu au wasanii wote, wewe kama sio shabiki wa wasanii wa bongo shabikia kina Chriss brown na 50cent uwe mwanaume wa kimataifa.

To us Music is life
 
ule uchawi wa mafuvu ya watu ya huyoo msanii wenu anayejiita simba jike kwenye ofisi zake ndio unaowapeleka puta. unafki wa kiba niupi kusema ukweli msanii wako hayupo jukwaani we nyuma ya jukwaa kilicho kupeleka nini? izo dili za kuongea na cris zinafanyika nyumaa ya jukwaa ingekuwa daimond kayasema haya mgemkashifu? usilolijua huna hajaa ya kulishabikia
Unagongwa na nyigu kwel ww...mpor por
 
Wewe bhn umeandika kiushabiki tuu, mchek alikiba twitter ni mtu anawapaisha sana wenzake anatoa pongez wa watu promo kwa wasanii wengne, hachagui mtu wa kuiretweet tweet yake. Na pia chek alikiba anafanya featuring ngapi na wasanii ambao hawajajulikana sana na pia chek anavyoimba aimbi ili apate tu kulipwa, anajitoa ht km ameshirikishwa! Kiba namfatilia sn twiTter ni yuko poa bhn ila ww ni wa upande wa pili umeongea kishabik tu. Af unaangalia IG tuu na pia kwan kumuwish mtu hbd ni ishu! Af hzo mishe za wadada et kila ktu bas uonekane
 
Huo weupe vipi
watoto hawa tumewazaa kubantu sasa wamekuwa weupe hataree we uitaka ufurahi uende clinic za uswazi vitoto vyeusiii kama mafuta ya bunduki mama zao wanaogopesha weupeee kheeeeeeeee no kama theluji
 
avatar_banned_l.png
hahahaha not again!!!!!!!!!!! sweet heart kila siku unalimwa ban uwe mpole bass wacha utukutu
ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban
 
  • Thanks
Reactions: irk
Sawa tumekuelewa ila huwa nashangaa why kiba kiba kiba humu anazungumzwa kama mwanamziki asiye na mafanikio lakini haishi kuanzishiwa mada kibao..kwanini isiwe Mr. Nice au Juma nature..
we hamnazo kweli mr nice nyimbo yake ya mwisho katoa lini?? Watu washamsahau huyo
 
Back
Top Bottom