MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mimi nimekurejesha kwenye msingibwa mda ya majadiliano kati yangu na wewe. Ile kutwambia kisa hakuna sehemu ikulu iko karibu na fukwe basi na kwetu isiwepo, ndio nikasema sio lazima na tanzania tuige hivyo. Maana hiyo ikulu ipo tangu ukoloni hadi magufuli ndio kathubutu kutekeleza mpango wa nyerere wa kuweka masuala yote ya kiutawala dodoma na dar ibaki kwa biashara. Hivyo, rudi huko juu tulikotoka sio kutoka nje ya mada, ndicho mimi napinga hapa.
Siwezi kupoteza muda wangu kukwambia kuhusu kanuni za kujdili wakati mods wapo na ndio kazi yao.
Narudia msingi wa hoja yangu; "Hatuwezi kuwa tunaiga kila kitu sehemu nyingine. Mambo mengine yanaanza na kuishia hapa hapa".
Sasa ndio unakuja ipasavyo, unatoa hoja yako bila kejeli au kunipangia namna ya kujadili, sasa nikirudi kwenye hiyo hoja yako, haina mashiko tena maana kumbe hata sio nyie mliweka ikulu hapo karibu na fukwe, iliwekwa na wakoloni, na kwa mifumo ya kisasa, hatari sana kuwa na sehemu nyeti karibu na fukwe ukizingatia hamna nyambizi au hata jeshi lenu la wanamaji halipo advanced kivile, hamjatajwa hata kwenye kumi bora Afrika Top 20 Strongest Navy In Africa 2023
Ni wazo nzuri sana kuhamisha shughuli nyeti ziende Dodoma.