Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Nyambizi walizonazo ni ndogo za uvuvi na utafiti tu sio za kivita.
South Africa wana nyambizi ya kivita, na hamna nyambizi inatumika kuvua samaki, uvuvi huwa inatumika trawler.

Kitendo cha kusema nyambizi inatumika kuvua samaki inadhihirisha hujui chochote kuhusu nyambizi ni sawa na mtu akwambie power tiller inatumika kuchimba madini. Epuka aibu ndogondogo.
 
Kwa hiyo unabisha au?? Najua ninachoongea
 
Unafahamu kitu kikiitwa ant? Kwa mfano vifaru bora kabisa kule kwa wasoviet vilipigwa na Javelin sio? Basi hiyo javelin ndio ant-tank ( against) hivyo basi hilo dubwana kukabiliana nalo sio lazima uwe na sub marine unaweza kuwa tu na rada bora kabisa ukalinasa kisha ukalisukumizia makombora huko huko lakini pia kuna net maalum huwa zinategwa baharini ( ant submarine net) hizo hilo dubwana mara nyingi likishaingia kwenye maji husika hujikuta limenaswa na nyavu hiyo maalum ambayo wakati mwingine inakuwa na mabomu maalum ya baharini ,mabomu hayo yanaelewa majini na huwa na mfumo kama wa sumaku hivyo hilo dubwana likipita tu basi ile sumaku hunasa kisha? boooom hivyo sio lazima sana kuwa nalo hilo dubwana na ukizingatia ni gharama sana sana hilo
Hata hizi nuclear powered submarine unaweza kuzinasa kwa hiyo neti ?

T14 Armata
 
Hata hizi nuclear powered submarine unaweza kuzinasa kwa hiyo neti ?

T14 Armata
Zile neti huwa hazibagui hazichagui,ingawa kiukweli pia ni mbinu ya muda kidogo nilichotaka kusema ni kwamba mara nyingi kwenye hizi mambo ikiwa mwenzako ana kifaru cha kisasa zaidi ,haiitaji wewe kuwa na kifaru cha kisasa pia bali utahitaji ant yake ili kuweza kukipiga pasipo wewe kuwa na kifaru kama kile au kuzidi
 
Jifunze kushirikisha ubongo unapojadili hoja, mleta mada kahoji masuala ya usalama na je kama nchi imejiandaaje kujikinga dhidi ya nyambizi, hilo ni suala mtambuka na haliwezi kujadiliwa utakavyo wewe, great thinkers lazima wajiongeze na kujadili zaidi ya hapo.
Mkenya vipi kwenu? Kuna submarine ngapi?
 
Tuvamiwe tuna nini sisi? Kwa lipi kwanza na nani? Lbd na samaki wa majini
 
Jifunze kushirikisha ubongo unapojadili hoja, mleta mada kahoji masuala ya usalama na je kama nchi imejiandaaje kujikinga dhidi ya nyambizi, hilo ni suala mtambuka na haliwezi kujadiliwa utakavyo wewe, great thinkers lazima wajiongeze na kujadili zaidi ya hapo.
Narudia. Ondoa mbwembwe za kikenya hapa na kutaka ufahari. Hoja yako iliyosabaabisha nikujibu inahusu ikulu kuwa karibu na bahari.
Nasema tena, sio kila kitu tuige au tuone sehemu nyingine. Ile ikulu imekuwepo pale mda wote wa taifa hili. So itaendelea kuwa salama.
Narudiia, toa arogacy hapa na tujadili mada.
 
Back
Top Bottom