wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Jeshi halilindi wavamia shamba lina mipaka yake kiulinziWanalinda nini sasa? Mbona sisi shamba la bibi wageni wanaingia tu kwenye nchi yetu ni mpaka wachomwe na raia ndo wanakamatwa nayo ni mara moja moja sana
Ile tuweni wakweli jamani bongo iwe na submarine si tungekua tunaiona kila siku kwenye vyombo vya habari