Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Wanalinda nini sasa? Mbona sisi shamba la bibi wageni wanaingia tu kwenye nchi yetu ni mpaka wachomwe na raia ndo wanakamatwa nayo ni mara moja moja sana
Ile tuweni wakweli jamani bongo iwe na submarine si tungekua tunaiona kila siku kwenye vyombo vya habari
Jeshi halilindi wavamia shamba lina mipaka yake kiulinzi
 
Wanalinda nini sasa? Mbona sisi shamba la bibi wageni wanaingia tu kwenye nchi yetu ni mpaka wachomwe na raia ndo wanakamatwa nayo ni mara moja moja sana
Ile tuweni wakweli jamani bongo iwe na submarine si tungekua tunaiona kila siku kwenye vyombo vya habari
Sio ipo ni zipo tena za kutosha ....
Katika zile zilizopitapita pale ziwani (kwa joysi banda alipotaka kuleta fyokofyoko) moja ilikuwepo.
 
Sio kila kitu usikie kwingine. Mambo mengine yanaanzia hapa hapa na kuishia hapa hapa.

Kuna nini umekianzisha hapo maana silaha ulizo nazo ulinunua kutoka kwa hao hao, mifumo yote ya mawasiliano, kila kitu, hata simu inayotumika ikulu imeagizwa kutoka kwa hao......
 
Hata tukizinunua mifumo ya kuziendesha ni yakwao. Satelite ni zao wakiamua kuzima ghafla zinazama zinakuwa mali kale za baharini.
Hakuna viongozi wa Africa wanawaza kuunda vitu hivyo labda SA.
 
Hatuna mkuu
Wanalinda nini sasa? Mbona sisi shamba la bibi wageni wanaingia tu kwenye nchi yetu ni mpaka wachomwe na raia ndo wanakamatwa nayo ni mara moja moja sana
Ile tuweni wakweli jamani bongo iwe na submarine si tungekua tunaiona kila siku kwenye vyombo vya habari
 
Kwanza mnaposema eti top secret au huwezi hata kupiga picha sehemu na kusema siri za jeshi ni umasikini tu ndio tunaficha
Wenzetu mpaka wametengeneza programs za kuangalia wanavyofanya kazi kwa miezi 3
Kuna kipindi huwa naangalia cha Tour of duty
Unaona kazi zote wanazofanya kwenye meli za jeshi la UK au USA
Wanaonyesha kila kitu
Sasa sisi tuna nini cha kuficha
 
Submarines za kazi gani? Ita
Kuna nini umekianzisha hapo maana silaha ulizo nazo ulinunua kutoka kwa hao hao, mifumo yote ya mawasiliano, kila kitu, hata simu inayotumika ikulu imeagizwa kutoka kwa hao......
Hebu toa mbwembwe za kikenya hapa na ujikite kwenye mada.

Sijaongelea kuanzisha siraha. Msingi wa hoja ni kuwa unataka tuige hadi location ya ikulu. Ndio nimekwambia kama hakuna nchi ikulu yake iko karibu na bahari basi hii inaanzia Tanzania na inashia Tanzania.

Au hili nalo unataka lianzie kenya?
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Ume generalized sana, Sio Kweli, mbona South Africa anazo
 
chambo wetu sisi uku bara si visiwa vya karafuu,
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Mkuu zipo nchi za Africa wanazo nyambizi kuanzia south Africa,Morocco, Misri nk yapo yapo hayo madubwana
 
Back
Top Bottom