Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Tunayo ipo magogoni tukivamiwa tunaenda zanzibar chini kwa chini.
 
Ya kwamba tunalindwa balaa kumbe wapi...[emoji1787]
Amini hilo kaka..
Nevi pale kila siku usiku na mchana watu wanashinda bahari chini kabisa kwenye kina kule na katikati na juu wanazuzura tuu..najua huamini ila ingeruhusiwa ningeluambia uke ujionee
 
Amini hilo kaka..
Nevi pale kila siku usiku na mchana watu wanashinda bahari chini kabisa kwenye kina kule na katikati na juu wanazuzura tuu..najua huamini ila ingeruhusiwa ningeluambia uke ujionee
Wanalinda nini sasa? Mbona sisi shamba la bibi wageni wanaingia tu kwenye nchi yetu ni mpaka wachomwe na raia ndo wanakamatwa nayo ni mara moja moja sana
Ile tuweni wakweli jamani bongo iwe na submarine si tungekua tunaiona kila siku kwenye vyombo vya habari
 
Anafikiri Ashock Leyland labda vitu vingine haina haja hata ya kutaka kuviandika.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Mmm! Kwani haiwezekani ukakopa halafu ukalipa kidogo-kidogo?
 
Back
Top Bottom