njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia South Africa, na Algeria wanazo Kilo class kutoka Urusi.
Submarines za kazi gani? Ita
Hebu toa mbwembwe za kikenya hapa na ujikite kwenye mada.
Sijaongelea kuanzisha siraha. Msingi wa hoja ni kuwa unataka tuige hadi location ya ikulu. Ndio nimekwambia kama hakuna nchi ikulu yake iko karibu na bahari basi hii inaanzia Tanzania na inashia Tanzania.
Au hili nalo unataka lianzie kenya?
Submarine gani inauzwa kwa $25 billion?Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Radars na submarines wapi na wapi. Subs zao ni sonar system kama buoys na listening devices.Hua zina kuja sana tu pale near Magogoni afu zina sepa si unajua rada zetu za mchongo alizo leta mkapa
Hizi zinawafaa wenye straights kama Sweden, Egypt pale Suez, Turkey pale Bosporus na kule Panama. Kwanza anti submarine nets zinahitaji maji yasiyo na kina kirefu sana, submarine either ipite juu kidogo ishikwe na net au ipite chini i-run aground.View attachment 2815633hiyo ndio submarine net hivyo unaweza usiwe na submarine ukawa na nyavu zako za kutosha kama mzee chunike wa ununio beach na ukafanya maajabu
Umenena vyema mkuu. Hata hao super power walio azo ni za kuhesabika sio maelfu wala mamia. Ni makumi kadha a tu. Sub ni kitu kingine. Labda nikukosoe kidogo, kwa Africa nchi ya Misri wanazo kadhaa. Zinahesabika kwenye viganja vyako vya mkono.Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Uwanja wako mzee wa kudadavua masilaha na mavifaa [emoji1]Hizi zinawafaa wenye straights kama Sweden, Egypt pale Suez, Turkey pale Bosporus na kule Panama. Kwanza anti submarine nets zinahitaji maji yasiyo na kina kirefu sana, submarine either ipite juu kidogo ishikwe na net au ipite chini i-run aground.
Sweden walizitumia hizi kuzuia Soviet subs kutoka St. Petersburg au Kaliningrad kwenda Baltic sea kwa kina Norway na Denmark na hapo kuingia bahari kuu.
Acha basiiii 😂😂😂
Baada ya Marekani, China, Urusi, North Korea na Uingereza tunafata TZ 🙏😀Jeshi la sita kwa ubora duniani likose nyambizi kweli? Si ajabu tunazo kibao tena za kinyuklia 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hata south Africa unataka kuniambia hawana nyambizi? SubmarineMtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Nyambizi walizonazo ni ndogo za uvuvi na utafiti tu sio za kivita.Hata south Africa unataka kuniambia hawana nyambizi? Submarine
Unadhani hata Dodoma mnaweza kuwazuia?Hivi ilitokeaje Tanzania ifanye ikulu karibu na bahari, mliskia au kuona wapi kitu kama hicho.