MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Narudia. Ondoa mbwembwe za kikenya hapa na kutaka ufahari. Hoja yako iliyosabaabisha nikujibu inahusu ikulu kuwa karibu na bahari.
Nasema tena, sio kila kitu tuige au tuone sehemu nyingine. Ile ikulu imekuwepo pale mda wote wa taifa hili. So itaendelea kuwa salama.
Narudiia, toa arogacy hapa na tujadili mada.
Na sio ikulu tu, hata mambo mengi nyeti yapo huko Dar, yaani nyambizi moja inatosha kulemaza nchi, halafu usipangie watu wanavyotaka kujadili mada, una uhuru wa kukaa pembeni, kwenye huu uzi naona hata kunao wanaijadili CCM, hujawapelekea shobo zako kuwafundisha namana ya kujadili, sijui kiherehere gani kimekutuma kwangu.