Wewe umechanganyikiwa kwelikweli; na kama ni mzee uliye onja ukoloni (siamini, kwa sababu hata mwandiko tu unakushtaki); utakuwa ni mmoja wa wafanya maovu ndani ya wakoloni hawa weusi wa CCM.Amkeni enyi wajinga na wapumbavu mliokosa akili, hakuna maendeleo yanayoletwa na mgeni, kila nchi tajiri imejengwa na raia wa asili ya nchi hiyo.
Hayo uliyo wasema wakoloni kuyafanya, ya kubaka, kuua; wewe leo hii huyaoni? Mzee Ali Mohamed Kibao ndugu zake ukiwauliza nani bora kati ya mkoloni na CCM ya leo utashangaa wakisema akheri ya mkoloni?
Kwa vile tu, leo unashibishwa na hawa wakoloni CCM ndio uone kila mtu yupo peponi kama mlivyo nyinyi?
Hata hivyo, hili jina sijawahi kuliona humu; lakini maelezo yako yananifanya nikudharau moja kwa moja.