Kwasasa mimi naona tumebadilisha wakoloni wametoka wazungu wamekuja waafrika wenzetu, tuna washika tonge hawa washika tonge ukiwa na hoja inayo gusa masilahi yao, (,wanyang"anya tonge), watakushughulikia, hata kukupoteza
Unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya badhi ya wanaopewa dhamana, (washikatonge), kuahahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a.k.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (uchawa)