Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Duu wewe usiwe na akili mgando, hao wachina unao wasema matumuzi ya computer walianza zamani kwa kutumia herufu kwenye mbao zipo nadhani 53 kama sikosei,sisi tunatumia herufi 26.Sasa wewe si mwalimu , wachina wanatumia kingereza ?
Wachina wanajua kwamba mtoto wa miaka 6-8 anatumia asilimia 80 ya ubongo wake kwa kuligundua hilio watoto wenye umri huo ambao wanauwezo mzuri wa kutafsiri kumbumbuku huwaweka pamoja na kuwapa ujuzi wa elimu mbali, (incubate them), matokeo yake wanakuwa wabobezi wakiwa na umri mdogo,
1979 kwenye maonesho ya science fair songea nilitengeneza radio transmitter nilipata kibali polisi nakumbuka marehemu Sokoine alikuwa mgeni rasmi aliponikuta na kuni hoji kuhusu transistor nilizo zitumia nimezitoa wapi na kunishauri nizitengeneze mwenyewe, kitu ambacho nisingeliweza bila kushikwa mkono.
Sisi hatuja jipanga kulea vipaji kwahiyo usifananishe Tanzania na china kumbuka tumetoka kujadili vizuri kuhusu mada ya ukoloni kumbe hata mwenyewe una ukoloni, unataka unacho fikiri wewe kiwe hivyo
Hitimisho hizi Lugha tafsiri zake inategemea pia uelewa wa anaye tafsiri