GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Mzee huo utofauti wa aina ya kodi hauondoi maana nzima ya uwepo wa kodi! Elewa kwamba, dunia inaenda na resources zinapungua!We jamaa acha ubishi , kodi iliyaoanzishwa na wakoloni unajua? kilifika kipindi kijana akifika umri fulani lazima alipe kodi ya kichwa tena kwa sarafu ndio maana waliacha mashamba yao na kwenda kulima kwa wakoloni .
Umesoma historia ipi ? Wasandawe, wasukuma, wapare , wazigua wachaga , waha walikuwa na kodi ipi kabla ya kuja wakoloni ?
Hata nje ya Africa hawakuanza na kodi in monetary form bali kwa mazao au kazi!
Sasa resources zinapopungua na ushindani unaongezeka! Hata wasingekuja wazungu industrial revolution isingetuacha salama hata kwa kuchelewa!
Kuna nchi hazikuingiliwa/zikishindwa kutawalika na Wakoloni, je hazina kodi?