Hivi tatizo kubwa la Wakoloni lilikuwa ni nini mpaka tukaamua waondoke?

Wakoloni walikuwa biased katika kum-treat MTU mweusi.

Ila MTU mweusi kumpa vyeo vikubwa bado na yenyewe sio sahihi

MTU mweusi hana uwezo wa kujiongoza na akaleta maendeleo maana bado ni MTU ambaye yupo self-centered .

Nafasi za juu Kama urais walibidi waaweke race nyingine Kama wazungu .

Tangu mataifa ya Africa yapate Uhuru yanazidi kurudi nyuma .
 
Wewe una umri gani? Si ajabu vitoto vya 90-2000 mnausifia ukoloni maana hamkuonja wala hamjui madhara yake, basi hata shule hamjajifunza?

Eti mkolon alikuwa na huruma, acheni ushenzi na ushetan wa kusahau maumivu na mateso waliyopitia bibi na babu zenu kipindi cha hao mashetani weupe.

Ni bora zaidi kuongozwa na muafrika mwenzio ambaye hata asipokuwa kiongozi mzuri bado hatokufanyia tabia za unyama ambazo hao Miungu wenu wazungu waliwafanyia babu zetu.

Ukoloni na wakaloni walibaka adharan,kulawiti, kuharibu makazi na maisha ya waafrika, kupola ardhi na resources, kujenga miundombinu waliyotumia kwa maslahi yao huku ktk nyanja za uongozi wa waafrika wakiwapandikiza puppets ambao watawatawala waafrika kupitia kivuli cha wazungu.

Amkeni enyi wajinga na wapumbavu mliokosa akili, hakuna maendeleo yanayoletwa na mgeni, kila nchi tajiri imejengwa na raia wa asili ya nchi hiyo.

Hata hiyo S.Afrika mnayoitolea mifano imejengwa na wazungu na mpaka sasa inamilikiwa na hao hao wazungu, ardhi kwa % inamilikiwa na wazungu, huku wazawa wakibaki kuishi kitumwa ktk ardhi yao, wakiishia kuuwana wao kwa wao au hasira zao kumalizia kwa wageni.

Enyi vitoto vya 2000 na baadhi ya wazee wapumbavu mliokimbia shule na kukosa elimu ya historia ya nchi yenu, kuweni na adabu mnapojadili mambo ya msingi adharani kama hivi mnajiaibisha.
Kwani Waafrika watawala waliorithi kutoka utawala wa wakoloni walikuwa na huruma kwa Waafrika wenzao waliowapinga? Watawala wote duniani hawana huruma kwa wanaotishia mamlaka yao.

Tofauti na Africa Kusini katika makoloni mengine hilo suala la wakoloni kubaka na kulawati hadharani katika makoloni yao ni propaganda zaidi, hakuna ushahidi wa maana katika hilo, huko katika makoloni ya Ufaransa mkoloni alikuwa na mpango wa kuyafanya makoloni yake sehemu ya Ufaransa kabisa.

Waafrika waliokuwa wanasomeshwa na wakoloni ilikuwa ni ili waje kuwa sehemu ya utawala, kumbuka machifu Waafrika wengi walikuwa wanatawala makabila tu, sasa wakoloni walipokuja na kuunda nchi walihitaji watu wenye uwezo wa kusimamia nchi sio tena makabila yao tu.
 
Wewe una umri gani? Si ajabu vitoto vya 90-2000 mnausifia ukoloni maana hamkuonja wala hamjui madhara yake, basi hata shule hamjajifunza?

Eti mkolon alikuwa na huruma, acheni ushenzi na ushetan wa kusahau maumivu na mateso waliyopitia bibi na babu zenu kipindi cha hao mashetani weupe.

Ni bora zaidi kuongozwa na muafrika mwenzio ambaye hata asipokuwa kiongozi mzuri bado hatokufanyia tabia za unyama ambazo hao Miungu wenu wazungu waliwafanyia babu zetu.

Ukoloni na wakaloni walibaka adharan,kulawiti, kuharibu makazi na maisha ya waafrika, kupola ardhi na resources, kujenga miundombinu waliyotumia kwa maslahi yao huku ktk nyanja za uongozi wa waafrika wakiwapandikiza puppets ambao watawatawala waafrika kupitia kivuli cha wazungu.

Amkeni enyi wajinga na wapumbavu mliokosa akili, hakuna maendeleo yanayoletwa na mgeni, kila nchi tajiri imejengwa na raia wa asili ya nchi hiyo.

Hata hiyo S.Afrika mnayoitolea mifano imejengwa na wazungu na mpaka sasa inamilikiwa na hao hao wazungu, ardhi kwa % inamilikiwa na wazungu, huku wazawa wakibaki kuishi kitumwa ktk ardhi yao, wakiishia kuuwana wao kwa wao au hasira zao kumalizia kwa wageni.

Enyi vitoto vya 2000 na baadhi ya wazee wapumbavu mliokimbia shule na kukosa elimu ya historia ya nchi yenu, kuweni na adabu mnapojadili mambo ya msingi adharani kama hivi mnajiaibisha.
Hilo suala la ardhi ndilo lina propoganda kubwa zaidi, kwanza wakati wakoloni wanafika sehemu kubwa ya Africa ilikuwa mapori tu, sio ardhi iliyoendelezwa, estates kubwa za chai, kahawa, mkonge, mahindi, ngano, cocoa, miti n.k wakoloni walizoachia wakati wa uhuru ni wao walizitengeneza kutoka katika mapori.

Halafu mbona daraja la watawala Waafrika na familia zao ndio walichukua ardhi yote waliyoacha wakoloni bila kuifanyia kazi yoyote?! Kenya familia ya Kenyatta na watawala wachache walikomba ardhi yote waliyoachia wakoloni baada tu ya uhuru, Zimbabwe Mugabe na marafiki zake waligawana mashamba yote ya wazungu na kibaya zaidi hata kuendelea kuzalisha hawakuweza, Africa Kusini ardhi kubwa ipo mikononi mwa serikali ila inagawanywa kwa rushwa na kujuana kwa vigogo wa ANC na matajiri uchwara, so what was the point kuwatimua wazungu ambao angalau hata waliweka jitihada zao kubadilisha mapori kuwa estates za mazao na ranchi za ufugaji!
 
Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu,

Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya.

Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji.

Walikuwa wanafungua ardhi kwa mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa.

Walikuwa na mipango miji bora.

Walikuwa wakifanya uinjilishaji na kuendeleza dini.

Hakukuwa na rushwa au ufisadi,

Ukiacha suala la siasa Waafrika kupata madaraka kuna mambo gani mengine muhimu yaliyotusukuma kuwakimbiza wazungu katika nchi zetu za Africa?

Hivi tofauti na Africa Kusini na Zimbabwe wakoloni wa nchi nyingine nao walikuwa na mfumo wa ubaguzi wa rangi wa kikatili kama wa hizo nchi mbili?
Kulikua hakuna sababu kabisa.
 
Aisee
Wewe umechanganyikiwa kwelikweli; na kama ni mzee uliye onja ukoloni (siamini, kwa sababu hata mwandiko tu unakushtaki); utakuwa ni mmoja wa wafanya maovu ndani ya wakoloni hawa weusi wa CCM.
Hayo uliyo wasema wakoloni kuyafanya, ya kubaka, kuua; wewe leo hii huyaoni? Mzee Ali Mohamed Kibao ndugu zake ukiwauliza nani bora kati ya mkoloni na CCM ya leo utashangaa wakisema akheri ya mkoloni?
Kwa vile tu, leo unashibishwa na hawa wakoloni CCM ndio uone kila mtu yupo peponi kama mlivyo nyinyi?

Hata hivyo, hili jina sijawahi kuliona humu; lakini maelezo yako yananifanya nikudharau moja kwa moja.
Duh
 
Wakoloni walikuwa biased katika kum-treat MTU mweusi.

Ila MTU mweusi kumpa vyeo vikubwa bado na yenyewe sio sahihi

MTU mweusi hana uwezo wa kujiongoza na akaleta maendeleo maana bado ni MTU ambaye yupo self-centered .

Nafasi za juu Kama urais walibidi waaweke race nyingine Kama wazungu .

Tangu mataifa ya Africa yapate Uhuru yanazidi kurudi nyuma .
Kweli tumejidharau

😱
 
Wapigania uhuru wa awali walikua na maono makubwa na sababu za msingi, ila viongozi wetu wa sasa!!! naomba niishie hapo.
Labda baadhi ya hao wapigania uhuru kweli walikuwa na maono ila ukweli ni kwamba hawakuwa na mpango wowote wenye mashiko au uwezo wa kutekeleza hayo maono.
 
Ilikuwa ni Uroho wa Madaraka wa Mwafrika mwenye kiwango cha chini cha ustaraabu.

Tazama wale waliojinasibu kama wapiganja uhuru

1. Mugabe
2. Moi
3. M7
4.Kaunda
5. Mobutu
6. Habyalimana.
7. Etc

Zaidi ua udikteta na wizi wa mali za umma na kupenda vyama vyao vya siasa kuliko Taifa lao hawakuwa na impact yoyote ya maana.
Mbona nyennye umemuacha
 
Very simple ,,,, because of the following points
- land allianation
- forced labor
  • low wages
  • ignorance of the indigenous
  • long working hours

If the colonialists would have done their things by taking into consideration the points mentioned above ,, we could still Have them..
 
Wakoloni wana kesi zao nyingi sana ndio maana kulikuwa na resistance ndogo ndogo , kwa lazima utambue waafrika ni watu wa amani sana ...Wakoloni walikuja wakakaribishwa wala sio utashi wao binafsi kutawala.

Afrika wana utu hata leo uende kule Arusha kwa wahadzabe wanakupokea na kukupikia nyama bila ya ubaguzi , kilichotokea ni mambo waliyoanzisha kama kodi , kazi zenye ujira mdogo ....Adhabu za wazi watu walikuwa walemavu kwa kukatwa hata viungo vyao .

Afrika walikubali mambo yao mengi ila baadae kuna vitu ndio walilazimisha ndio tatizo likaanza ...Kila resistance ilikuwa na sababu zake .
 
Tena kama Tanzania kuwaondoa wakoloni ilikua ni maamuzi ya kukurupuka tuu yani watu walitaka uhuru lakini hawakujua baada ya kupata uhuru wafanye nini ili waendelee kua huru, angalau wangefika hadi mwaka 2000 wanageacha wamefanya makubwa sana
 
Wakoloni wana kesi zao nyingi sana ndio maana kulikuwa na resistance ndogo ndogo , kwa lazima utambue waafrika ni watu wa amani sana ...Wakoloni walikuja wakakaribishwa wala sio utashi wao binafsi kutawala.

Afrika wana utu hata leo uende kule Arusha kwa wahadzabe wanakupokea na kukupikia nyama bila ya ubaguzi , kilichotokea ni mambo waliyoanzisha kama kodi , kazi zenye ujira mdogo ....Adhabu za wazi watu walikuwa walemavu kwa kukatwa hata viungo vyao .

Afrika walikubali mambo yao mengi ila baadae kuna vitu ndio walilazimisha ndio tatizo likaanza ...Kila resistance ilikuwa na sababu zake .
Hilo suala la kodi nafikiri ni mjadala zaidi, kwa sababu duniani kote raia hulazimika kulipa kodi, suala ni zilikuwa kodi za aina gani na makusanyo yalikuwa yanafanyia nini.

Kazi zenye ujira mdogo za wakoloni zilikuwa zipi hizo? Leo hii mbona hata hivyo raia wengi wanafanya kazi zenye ujira mdogo au kipato cha siku tu
 
Kazi za mashambani , waafrika walikuwa wanalima kwa chakula cha kila siku kwa matumizi yao binafsi ...Hao jamaa ulikuwa unafanya kazi kweny mashamba yao upate pesa ya kulipa kodi , ukija kushtuka kwao hujalima na pesa uliyopata ni ndogo imeishia kulipa kodi kwa serikali ya kikoloni.
 
Walikuwa wanalazimisha hao raia wakalime mashambani?
 
Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu,

Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya.

Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji.

Walikuwa wanafungua ardhi kwa mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa.

Walikuwa na mipango miji bora.

Walikuwa wakifanya uinjilishaji na kuendeleza dini.

Hakukuwa na rushwa au ufisadi,

Walitenga maeneo ya hifadhi na mbuga za wanyama kufanya utalii.

Ukiacha suala la siasa Waafrika kupata madaraka kuna mambo gani mengine muhimu yaliyotusukuma kuwakimbiza wazungu katika nchi zetu za Africa?

Hivi tofauti na Africa Kusini na Zimbabwe wakoloni wa nchi nyingine nao walikuwa na mfumo wa ubaguzi wa rangi wa kikatili kama wa hizo nchi mbili?
Kwa tanzania mm nadhani ni mkumbo tu ndio ulituponza na sisi kujiona wanaharakati kama wengine huko duniani.
Ila tulifeli pakubwa sana.
 
Nani alikudanganya "tukamuawaondoke"? Waliamuwa wao kuondoka, siyo sisi.

hawakuamuwa kuondoka mpaka walipohakikisha wametuweka watakavyo wao, ii waendelee kutukamuwa mpaka wahakikishe sasa hatutowi tena maziwa wala damu. Tukauke kabisa ndipo watatuwachia.
bibi unapiga kwenye mishono tu siku zote,...🤜🤜
 
Ndio , kulikuwa mpaka na migrant labor , walitolewa mbali huko kama kigomo mpaka kaskazini wakafanye kazi .
Kwani leo hii hakuna migrant labor?
Lakini pia kazi za upigaji debe stendi, kuzunguka juani kuuza matunda kwenye mabeseni, kubeba magunia sokoni au kariakoo na kuuza pipi na maji stendi kuna afadhali yoyote kuliko migrant labor?
 
Back
Top Bottom