Hivi tatizo kubwa la Wakoloni lilikuwa ni nini mpaka tukaamua waondoke?

Amkeni enyi wajinga na wapumbavu mliokosa akili, hakuna maendeleo yanayoletwa na mgeni, kila nchi tajiri imejengwa na raia wa asili ya nchi hiyo.
Wewe umechanganyikiwa kwelikweli; na kama ni mzee uliye onja ukoloni (siamini, kwa sababu hata mwandiko tu unakushtaki); utakuwa ni mmoja wa wafanya maovu ndani ya wakoloni hawa weusi wa CCM.
Hayo uliyo wasema wakoloni kuyafanya, ya kubaka, kuua; wewe leo hii huyaoni? Mzee Ali Mohamed Kibao ndugu zake ukiwauliza nani bora kati ya mkoloni na CCM ya leo utashangaa wakisema akheri ya mkoloni?
Kwa vile tu, leo unashibishwa na hawa wakoloni CCM ndio uone kila mtu yupo peponi kama mlivyo nyinyi?

Hata hivyo, hili jina sijawahi kuliona humu; lakini maelezo yako yananifanya nikudharau moja kwa moja.
 
Ilikuwa makosa makubwa kuwafukuza, I wish tungewapa uraia na kuwakaribisha kwenye umiliki wa njia za uchumi, hatujachelewa sana tuwakaribishe tena na tuwape nafasi za uongozi pia
Hapana.
Maana ya maneno yako ni kwamba hatuwezi kuwa na viongozi wazuri miongoni mwetu, jambo ambalo siyo kweli.

Tutafute njia za kuwaondoa hawa wakoloni weusi wasio penda kuachia madaraka. Hawa ndilo tatizo, siyo ukosefu wa mbadala wao.
 
Nani alikudanganya "tukamua waondoke"? Waliamuwa wao kuondoka, siyo sisi.

hawakuamuwa kuondoka mpaka walipohakikisha wametuweka watakavyo wao, ii waendelee kutukamuwa mpaka wahakikishe sasa hatutowi tena maziwa wala damu. Tukauke kabisa ndipo watatuwachia.
 
Hizi ngano ndio mnadanganywa na wajinga wenu wa CCM
 
'Bush' ni wewe kweli?
Kaunda utamweka vipi katika orodha ya akina Moi na Mobutu!
 
Labda ukatafute hawa wakoloni wapya kama waarabu. Wazungu wao tayari wanazo njia chungu nzima za kututawala bila ya wao kuwa hapa nasi.

Sasa ukiniambia tukatafute wakoloni Arabuni, au hata China, hapo tutaanza mjadala mwingine tofauti na huu.
Waarabu? Wataleta ujinga na udini tuu
 
Kilicho badili Ni rushwa na unadhirifu wa Mali ya umma.
Wakoloni walikaa Oysterbay, leo wanaokaa Oysterbay wanafanya Yale Yale waliotutanyia wakoloni.
Wana club zao
Wana mila zao
Wana lugha zao
Wanalindwa na polisi
Ama ulishaona police wakipatrol Mbagala usiku?
 
Colonialists were better off than fellow African dictators!

AFADHALI YA MKOLONI
 
Yalikuwa ni mambo ya kuwekana sawa mezani....
anyway ni wakati wa kuzungumza na mfalme Charles........

View: https://youtu.be/XZGRxn9eCxU?si=8daeWs9JEjoXI4yRNa huu ulikuwa ndio wimbo wetu wa Taifa kabla ya UHURU...
 
Nakuhakikishia mjerumani na rupia yake angeachwa atawale mpaka sasa tungekuwa mbali mno. Au mwingireza angeachiwa nchi na tusipate uhuru tungekuwa na maisha bora zaidi.
 
Ilikuwa makosa makubwa kuwafukuza, I wish tungewapa uraia na kuwakaribisha kwenye umiliki wa njia za uchumi, hatujachelewa sana tuwakaribishe tena na tuwape nafasi za uongozi pia
Hakika, walitakiwa kubaki kama raia wenzetu tushirikiane kuleta maendeleo.
 
Fikira hizi zinakuja kwenye vichwa vya watu baada ya kuona raia na serikali kuna gape kubwa kama vile viongozi wamekuwa wakoloni nao
 
Wapigania uhuru wa awali walikua na maono makubwa na sababu za msingi, ila viongozi wetu wa sasa!!! naomba niishie hapo.
 
Soma hotuba ya peter botho kuhusu waafrica .


Mwafrika anazidi kurudi Nyuma na sio kwenda mbele

Tazama south Africa iliyojipatia Uhuru wake 1994 na ulingamishe na sisi Tz tuliopata Uhuru 1961

Na pia itazame south Africa ambayo IPO chini ya MTU mweusi jinsi inavyozidi kurudi nyuma Kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…