Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Nadhani Mkuu Rushanju amekujibu vizuri na umakini sana. Nunua airtime ya kama Tshs 20,000 bila kuingia kwenye kifurushi cha data halafu download mziki mmoja tu ndio utajua uhalisi wa bei ya 1GB hapa TanzaniaKwahiyo mkuu umeamini kabisa 1GB kwa Tanzania ni wastani wa Tsh. 11,500/-?
Ukitaka kujua kuwa bei ya data ni kubwa, weka salio bila kujiunga halafu endelea ndo utajua thamani halisi ya kifurusi. Hicho ndo kimefanyiwa tafiti. Haya mambo ya kujiunga ni uhuni tu
Nadhani kuna kitongoji huko Rwanda kinaitwa TZ ndio mtandao bei hiyoJama jama wastani gb 1 ni 11000/= ivi kuna tz nyingine au ni hii moja
Hebu tusaidie hizo MB 500 mpka 1 GB unapataje?Nadhani ungeweka wazi hiyo 1GB kwa 11,500 ina maanisha nini hasa.
Mimi kwa matumizi yangu shilingi mia tano tu napata wastani wa MB 500 - 1GB kupitia Halotel.
Nikiwa na 10,000 napata GBs za kumwaga za kutumia zaidi ya siku 30.
Kwa nini usifanye majaribio; nunua airtime ya kama Tshs 20,000 bila kuingia kwenye kifurushi cha data halafu download mziki mmoja tu ndio utajua uhalisi wa bei ya 1GB ndio utajua kama unaishi Tanzania au kitongoji huko Rwanda kinaitwa TanzaniaNadhani kuna kitongoji huko Rwanda kinaitwa TZ ndio mtandao bei hiyo
Ubishi wa nini? Nunua airtime ya kama Tshs 30,000 bila kuingia kwenye vifurushi halafu fanya mambo yanayotumia data, wala usiguse simu ya kuongea, kisha rudi hapa uposti tenaJama jama wastani gb 1 ni 11000/= ivi kuna tz nyingine au ni hii moja
Kwani mkuu GB 1 wewe huwa unainunua kwa shilingi elfu 11500 au hujui tafiti zimefanyiwa ulaya
Kwahiyo mkuu umeamini kabisa 1GB kwa Tanzania ni wastani wa Tsh. 11,500/-?
Hamuwezi elewa kilichowekwa hapo mpaka uwe umesoma shule za kweli, sio shule za kata, au uwe ulisoma hesabu vema.Jama jama wastani gb 1 ni 11000/= ivi kuna tz nyingine au ni hii moja
Huo mfano uliotoa sio mzuri tafuta mwingine. Halafu umeanzisha mada iko kushoto sawa sawa na kusema mchana ni usiku na usiku ndio mchana Ha ha. Yaani kama ni promo ya RW basi huenda kuna cheo mnatafuta huko RW kwa Pk kwa promo za ajabu. Jitahidi huenda ukapata u DC wa GisenyiKuna mambo kadhaa lazima uzingatie. Unaweza ukaweka 1GB na kuwa unatumia kwa ajili ya WhatsApp message tu, inaweza kukaa zaidi ya siku 30. Sasa lazima uangalie bei kwa namna inayotoa ulinganifu, kwa mfani, IGB ita download data kiasi gani kwa nchi mbalimbali, sasa hiyo ndio itakupa ulinganifu wa bei. Utakuta kwa Rwanda labda, 1 GB uta download kitabu kizima chenye chapter 10, wakati Tanzania uta download chapta moja tu ya kitabu hicho.
Halafu, ukitaka kujua uhalisi wa bei, nunua airtime ya kama Tshs 20,000 bila kuingia kwenye kifurushi cha data halafu download mziki mmoja tu ndio utajua uhalisi wa bei ya 1GB hapa Tanzania
Hao ni voda mzee baba, tafiti zao zipo sawa. Hizo bundle wanazo nunua chini hapo huwa ni promo na huwa hazidukuSijawahi kununua 1GB kwa elfu kumi.
Hizi data umezitoa wapi?
Hiyo data yako ni ya 2018.Kwa nini usifanye majaribio; nunua airtime ya kama Tshs 20,000 bila kuingia kwenye kifurushi cha data halafu download mziki mmoja tu ndio utajua uhalisi wa bei ya 1GB ndio utajua kama unaishi Tanzania au kitongoji huko Rwanda kinaitwa Tanzania
Hao ni voda mzee baba, tafiti zao zipo sawa. Hizo bundle wanazo nunua chini hapo huwa ni promo na huwa haziduku
View attachment 1288466
Na jamaa wameng'ang'ania mifano ya tubifurushi vyao twa elfu 1 kuingia insta kuchambana na dada zao. Wana sahau utafiti una base sana kwenye matumizi ya watu wanaotumia internet for significance, kwa mfano ofisi, kampuni, viwandani, na uendeshaji wa kila siku.
Mkuu, tunapoongelea bei ya data usikaze fikra kwenye vifurushi vya makampuni ya simu. Sana sana angalia labda subscription rates za data kwa mwezi
Vifurushi vimetuharibu akili. Tumesahau bila hivi vifurushi huduma za simu bei sana.Na jamaa wameng'ang'ania mifano ya tubifurushi vyao twa elfu 1 kuingia insta kuchambana na dada zao. Wana sahau utafiti una base sana kwenye matumizi ya watu wanaotumia internet for significance, kwa mfano ofisi, kampuni, viwandani, na uendeshaji wa kila siku.
Mkuu kuna ofisi /kampuni wana huduma za After paid. Hizi hazina kujiunga na vifurushi. Au kuna nyingine ukipewa muda wa salio huwezi kujiunga.haiwezekani kwa sababu watu hawanunui hio GB 1 kwa hio bei tajwa hapo, research inaongelea kama hujaweka bundle inamaanisha gb moja itaisha kwa hio bei lakini watu hawafanyi hivo, sidhan kama kuna mtu anatumiaga akiweka tu salio bila kuunga discount ya vifurushi
ni sawa sawa leo ulalamike gharama ya kupanda kiazi kimoja mpaka kikue ni kubwa wakati watu wanalima viazi vingi kwa pamoja
Mkuu kuna ofisi /kampuni wana huduma za After paid. Hizi hazina kujiunga na vifurushi. Au kuna nyingine ukipewa muda wa salio huwezi kujiunga.
Umefikiria kila anayetumia data LAZIMA ajiunge na vifurushi.
changanya na akili zako kabla ya kudadavua mambo, bei ya GB 1 kwa tz haizidi tsh 3000 on average nkimaanisha mitandao tafaut tafaut, mfano airtel gb moja ni 1000 voda gb 1 ni 2000:
kenya gb 1 ni 500ksh ambayo ni kama 12,000tsh:
tatizo linakujaga pale taarifa zinatoka nchi za mbele na watu wa uku bila uelewa mnaichukua kama ilivo: taarifa rasmi hua znatoka serikalini sio kwenye muungano wowote wa nchi za nje
'500ksh=12,000tsh'
Hesabu ni janga la kitaifa.