janga la taifa sasa ni nan: bro hujui mahesabu nn
View attachment 1288555
Kwahio kwako unaona 500k ni sawa na 500 sio?
Daah ndio maana nilipata F ya hesabu mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
'500ksh=12,000tsh'
Hesabu ni janga la kitaifa.
Mkuu mimi sizungumzii vifurushi. Najua Airtel 1gb unaipata hata kwa 1,000 kwa Uni Ofa ambayo utatumia siku 3.
Utafiti alioleta mtoa mada umeweka average ya bei ya data bila kugusia vifurushi. Ukijua Objectives za utafiti huwezi kuwa na majibu yako kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu GB 1 wewe huwa unainunua kwa shilingi elfu 11500 au hujui tafiti zimefanyiwa ulaya
Tatizo ni kuwajibu watu ambao hawajui lakini hawajui kuwa hawajuiPunguza lugha yenye ukakasi hata kama una akili kubwa iliyoko kwenye kichwa kimoja kama sisi
Hivi wewe ukisikia matumizi ya internet na GB basi unajua ni kwa ajili ya simu za mkononi tu, kununua bundle na kuchat au kuangalia Youtube?haiwezekani kwa sababu watu hawanunui hio GB 1 kwa hio bei tajwa hapo, research inaongelea kama hujaweka bundle inamaanisha gb moja itaisha kwa hio bei lakini watu hawafanyi hivo, sidhan kama kuna mtu anatumiaga akiweka tu salio bila kuunga discount ya vifurushi
ni sawa sawa leo ulalamike gharama ya kupanda kiazi kimoja mpaka kikue ni kubwa wakati watu wanalima viazi vingi kwa pamoja
Yaani wewe, ukisikia data cost tu unajua ni suala la bundles kwenye vifurushi?Huo mfano uliotoa sio mzuri tafuta mwingine. Halafu umeanzisha mada iko kushoto sawa sawa na kusema mchana ni usiku na usiku ndio mchana Ha ha. Yaani kama ni promo ya RW basi huenda kuna cheo mnatafuta huko RW kwa Pk kwa promo za ajabu. Jitahidi huenda ukapata u DC wa Gisenyi
Sintashangaa akisema alimsikia Humphrey Polepole akisema alipokuwa anahutubia watu kuhusu mafanikio ya chama na neema zilizoletwa na raisi!Lete reference mjomba
Kwa kifurushi cha Halotel? Mada hii iko mbali sana zaidi ya bei za vifurushi unavyonunua kama ofa za kampuni za simu ambazo lazima utumie ndani ya masaa kadhaa au kuanzia saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi.Mkuu 1,000 Rwandan franc ni sawa na 2,462 tsh. Pia wastan wa GB1 kwa Tz ni 2,000 tsh sio 11,500.
Nieleweshe kama sijakuelewa Mkuu.
matumizi ya ofisini ni more cheap than mtu mmoja mmoja
Hivi wewe ukisikia matumizi ya internet na GB basi unajua ni kwa ajili ya simu za mkononi tu, kununua bundle na kuchat au kuangalia Youtube?
Hivi hujui kwamba hizo data zinatumika hata kwa mambo ya security nyumbani kwa watu? Kwa mfano, watu kama ZUKU wanauza data, lakini sio kwa hizo bundles unazosema wewe.
Yaani wewe, ukisikia data cost tu unajua ni suala la bundles kwenye vifurushi?
I say, humu JF kuna watu wengi sana hamjui lakini hamjui kuwa hamjui, halafu mnabishana na wanaojua na wanajua kuwa wanajua.
Unajua maana ya wastani?sasa we ulitaka ufocus kwa nan? mtumiaji wa mwisho ndo sisi wananchi? wewe unauziwa data gb 1 kwa tsh 1000 we ulidhan wao data ya 1gb walinunua kwa bei gan? 11,000 tsh? unavoongelea for bussiness issues hayo ni maswala mengine: na huwezi kupima kwa kutumia kiasi ukilinganisha na gb: bussiness doesnt go that way bro
Do I say. Hivi wanao unawapeleka wapi shule? Maana sidhani kama utaruhusu wasome vitabu vilivyoandikwa na watu wengine, hasa mabebereu!kwan ulidhan mitandao ya simu inatoa wap internet? si wananua kama makampuni mengine? sasa kama wao wakauuzia gb 1 tsh 1000 , haiwezekan wao wauziwe gb 1 kwa tsh 11,000: kwa sababu itakua ni hasara, ndo maaana nkasema hapo juu hakunaga taarifa sahihi zinazotokaga muunganiko wa nchi za nje: tatizo nyie kila taarifa mkishaona tu mtandaoni mnaruka nyo hivo hivo
Do I say. Hivi wanao unawapeleka wapi shule? Maana sidhani kama utaruhusu wasome vitabu vilivyoandikwa na watu wengine, hasa mabebereu!
Unajua maana ya wastani?
Hujatoa maana ya wastani, umetafsiri neno wastani kwenda lugha ya kiingereza. Sasa hapo utaongeaje na mimi kama hata maana ya neno maana hujui?average:
una swali lingine