Hujatoa maana ya wastani, umetafsiri neno wastani kwenda lugha ya kiingereza. Sasa hapo utaongeaje na mimi kama hata maana ya neno maana hujui?
Wewe ni mbishi wa kuzaliwa na huwezi kukiri unapoonyeshwa hujui hata ukijua kuwa ulikuwa hujui. Bone-mbishi and mjifanya mjuaji. Period.amnot here ili tusumbuane na dictionary mpaka nmesema average naelewa hilo neno, ndo maana nmeweza kulitafsiri into a proper word:
una miaka mingap bro, maana mm mpaka nlishastaaafu cisco miaka mingi sasa: nini unachotaka kusema skijui kwamba sijafanya nacho kazi?Wewe ni mbishi wa kuzaliwa na huwezi kukiri unapoonyeshwa hujui hata ukijua kuwa ulikuwa hujui. Bone-mbishi and mjifanya mjuaji. Period.
una miaka mingap bro, maana mm mpaka nlishastaaafu cisco miaka mingi sasa: nini unachotaka kusema skijui kwamba sijafanya nacho kazi?
Wewe ni mbishi wa kuzaliwa na huwezi kukiri unapoonyeshwa hujui hata ukijua kuwa ulikuwa hujui. Bone-mbishi and mjifanya mjuaji. Period.
Lete reference mjomba
Mkuu unapoteza muda wako. Anabishana na utafiti wewe ndio utamuelewesha?Wewe ni mbishi wa kuzaliwa na huwezi kukiri unapoonyeshwa hujui hata ukijua kuwa ulikuwa hujui. Bone-mbishi and mjifanya mjuaji. Period.
Hapana ni just comparison kwa mitandao yote, But unaeza kuwa sahihi kwani hii ni bei ya kifushi inayokuwa na limited time, Hapo sijafanya research kujua download and upload are equivalent to the data they offer.Kwa kifurushi cha Halotel? Mada hii iko mbali sana zaidi ya bei za vifurushi unavyonunua kama ofa za kampuni za simu ambazo lazima utumie ndani ya masaa kadhaa au kuanzia saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi.
Mkuu hizo sio bei ni promo ukitaka kujua bei hasa unaangalia price per unit.Hio ndio gharama halisiNadhani ungeweka wazi hiyo 1GB kwa 11,500 ina maanisha nini hasa.
Mimi kwa matumizi yangu shilingi mia tano tu napata wastani wa MB 500 - 1GB kupitia Halotel.
Nikiwa na 10,000 napata GBs za kumwaga za kutumia zaidi ya siku 30.
Kwa nini usifanye majaribio; nunua airtime ya kama Tshs 20,000 bila kuingia kwenye kifurushi cha data halafu download mziki mmoja tu ndio utajua uhalisi wa bei ya 1GB ndio utajua kama unaishi Tanzania au kitongoji huko Rwanda kinaitwa Tanzania
sasa we ulitaka ufocus kwa nan? mtumiaji wa mwisho ndo sisi wananchi? wewe unauziwa data gb 1 kwa tsh 1000 we ulidhan wao data ya 1gb walinunua kwa bei gan? 11,000 tsh?
kwan ulidhan mitandao ya simu inatoa wap internet? si wananua kama makampuni mengine? sasa kama wao wakauuzia gb 1 tsh 1000 , haiwezekan wao wauziwe gb 1 kwa tsh 11,000: kwa sababu itakua ni hasara, ndo maaana nkasema hapo juu hakunaga taarifa sahihi zinazotokaga muunganiko wa nchi za nje: tatizo nyie kila taarifa mkishaona tu mtandaoni mnaruka nyo hivo hivo
Hahahaha! Kweli Mkuu Pachanya. Kuna mahali kaandika eti kampuni za simu zinanunua data bunle mahali ndio zinatuuzia sisi, sasa mantiki yake ni kwamba kama wananunua kwa Shs 11,000 kwa nini wanatuuzia IGB kwa 1000? Nimebaki hoi, nikajua nampigia mbuzi gitaa.Mkuu unapoteza muda wako. Anabishana na utafiti wewe ndio utamuelewesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
maswali matatu kwanza ujibu:
1)nani anauza internet tanzania?
2)anaemuuzia muuzaji anatoa wap?
3) bei ya mauzo ni kiasi gan? bandwidth allowed per single company ni kiasi gan?
kama huna uelewa wa haya mambo tulia tu mdogo wangu maana haya ni maswali basics sana na hata sio technical
Acha upoyoyo wewe. Hebu tuambie kampuni za simu zinanunua data wapi ili kukuuzia wewe data bundles? Wewe umefanya hii kama biashara ya vitunguu, wauza jumla na wauza rejareja?
Yaani mtu mzima unadhani kampuni za simu zinanunua bundles mahali ili wauzie wateja wao halafu unakuja kubishana humu kama vile unaelewa mambo haya. Nimekuambia tatizo lako ni kwamba hujui na hujui kwamba hujui.
Hivi umewahi kusikia kitu kinaitwa satellite? Kama una akili angalau kidogo utaelewa nikitaja neno satellite tu
Hahahaha! Kweli Mkuu Pachanya. Kuna mahali kaandika eti kampuni za simu zinanunua data bunle mahali ndio zinatuuzia sisi, sasa mantiki yake ni kwamba kama wananunua kwa Shs 11,000 kwa nini wanatuuzia IGB kwa 1000? Nimebaki hoi, nikajua nampigia mbuzi gitaa.
source?
Kama uko interested kujua ukweli, basi ujue tu taarifa zako sio sahihi hata. Take this from horse's mouth!Tayari Mkuu, nimerekebisha na kuweka chanzo. Ila sasa usiseme ni uongo wa mabeberu.
Alla, kumbe. Hebu soma hapa;sateliteπππππππ: bora unyamaze tu hujui kitu na internet haitoki kwenye satelite na hakuna kampuni inafanya biashara ya satelite internet unless ni ile initial connection kutoka kwa mteja kufika head offices:
alafu hili swali nlishakuuliza mda mrefu sana huna jibu unapiga kelele tu
Kuna tofauti Kati ya kifurushi na kutumia airtime ku access Internet moja kwa mojaSIjawahi kununu 1GB kwa elfu kumi.
Hizi data umezitoa wapi????????