Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Sasa utawaandikia kitu ambacho hakipo? Yaani uwatungie ukweli?Mkuu mimi nina jingo lango ndo ofisi,ila wamegoma wameomba niandike makadirio ningekuwa nalipa kiasi gani,so wanakata hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utawaandikia kitu ambacho hakipo? Yaani uwatungie ukweli?Mkuu mimi nina jingo lango ndo ofisi,ila wamegoma wameomba niandike makadirio ningekuwa nalipa kiasi gani,so wanakata hapo
Zawadi huwa hailipiwi kodi nenda popote duniani. Ni hawa wakuda wa TRA ndio wanaforce watu kulipia kodi mali ya zawadi.Hilo sio tatizo , unachotakiwa kufanya ni kuangalia nyumba kama yako eneo ulilopo ungekuwa unapanga ungelipa kiasi gani!?,hakuna Sheria inayozuia nyumba yako kuwa ofisi ila lazima wajue thamani ya kupanga nyumba kama hiyo mitaa hiyo, ikibidi jiandikie mkataba kwamba wewe mwenyewe unailipia nyumba yako labda laki 3 Kwa mwezi, umuhimu wake ni kwenye makadirio ya kodi kwa mwaka kulingana na biashara unayoifanya. Mfano mzuri ni kwa mfano upewe zawadi ya gari Japan, China au U.k uilete bongo, kwenye kikokotoo cha T.R.A hakuna formula ya gari la kuzawadiwa. Watalipigia hesabu thamani yake huko lilikotoka na utalipia sawa na mwingine aliyelinunua huko.
N.B. Jitahidi kila utakachokiandika ukishusha thamani, weka gharama za chini itakusaidia wakuweke kundi gani la kodi. Ukijichanganya waweza kukadiriwa kodi sawa na Mo Dewji kwa mwaka. T.R.A sio watu wazuri kabisa.
Ulichosema ni kweli kabisa.Nimesoma posts zako kuna kitu hapa unachanganya, formula ya T.R.A ya kukukadiria wakuweke kundi gani la kodi kwa mwaka, wanaangalia mtaji wako halisi kutegemea na biashara unayotaka kufanya, unawaambia unategemea kupata faida kiasi gani Kwa siku,mwezi,mwaka halafu ndo annual income yako ambayo ni net profit baada ya kutoa matumizi yote ikiwemo kodi ya nyumba,chumba/frame unayotegemea kufanyia biashara ndo inawaambia wewe upo kundi gani la kodi. Ndo maana kwenye formula yao wamelazimisha mtu aweke kodi ya nyumba/chumba Cha biashara. Hata kama ni nyumba yako unaandika mkataba wa kupanga wenye thamani na nyumba/chumba kama hicho maeneo hayo.(Ni Kwa faida yako), kwasababu kwa mfano faida yako baada ya kutoa vitu vyote (kasoro kodi ya nyumba)kwa mwaka ni milioni 5. Ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 5 Kwa mwaka, ila kama ungejumlishiwa kodi ya nyumba tuseme laki 1 na nusu Kwa mwezi, sawa na milioni 1 na laki 8 Kwa mwaka, ingetolewa kwenye Ile milioni 5 na kubaki milioni 3 laki 2. Kwahiyo ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 3 laki 2. Ndo maana wanalazimisha ulete mkataba wa kupanga nyumba/chumba ni kwa faida yako. Tatizo T.R.A hawatoi ufafanuzi wa kutosha kuelewesha watu vizuri. Mtu anahisi kueleza haupangi ofisi ni nyumba yako ni dili kumbe anajipunguzia matumizi faida ionekane kubwa na kodi iongezeke pia, kwa wazoefu hata kama nyumba ni yake anaiandikia mkataba Ili iwe sehemu ya matumizi kodi ipungue. Soma kwa makini maelezo yangu utaelewa. Usipoelewa tafuta mfanyabiashara wa kati mwenye uzoefu wa kukwepa kodi akueleweshe.
Natumia nyumba yangu kama ofisi toka 2020 na sijawahi funga biashara.Dah,hii waligoma kabisa kabisa aisee.
Labda kama wamebadili recently.
Hawakubali kwa wasiojielewa. Biashara ni yako na nyumba ni yako wewe ndio mwenye maamuzi ulipe kodi au ujipatie nyumba bure. TRA hawana mamlaka ya kukulazimisha ulipe kodi kwenye nyumba yako.Bado hawakubali, lazima ukadirie jengo/nyumba yako eneo ulilopo kodi ni kiasi gani..
Umeeleza vizuri sana, na hii ni moja ya trick ya ukwepaji kodi kisheria.Nimesoma posts zako kuna kitu hapa unachanganya, formula ya T.R.A ya kukukadiria wakuweke kundi gani la kodi kwa mwaka, wanaangalia mtaji wako halisi kutegemea na biashara unayotaka kufanya, unawaambia unategemea kupata faida kiasi gani Kwa siku,mwezi,mwaka halafu ndo annual income yako ambayo ni net profit baada ya kutoa matumizi yote ikiwemo kodi ya nyumba,chumba/frame unayotegemea kufanyia biashara ndo inawaambia wewe upo kundi gani la kodi. Ndo maana kwenye formula yao wamelazimisha mtu aweke kodi ya nyumba/chumba Cha biashara. Hata kama ni nyumba yako unaandika mkataba wa kupanga wenye thamani na nyumba/chumba kama hicho maeneo hayo.(Ni Kwa faida yako), kwasababu kwa mfano faida yako baada ya kutoa vitu vyote (kasoro kodi ya nyumba)kwa mwaka ni milioni 5. Ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 5 Kwa mwaka, ila kama ungejumlishiwa kodi ya nyumba tuseme laki 1 na nusu Kwa mwezi, sawa na milioni 1 na laki 8 Kwa mwaka, ingetolewa kwenye Ile milioni 5 na kubaki milioni 3 laki 2. Kwahiyo ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 3 laki 2. Ndo maana wanalazimisha ulete mkataba wa kupanga nyumba/chumba ni kwa faida yako. Tatizo T.R.A hawatoi ufafanuzi wa kutosha kuelewesha watu vizuri. Mtu anahisi kueleza haupangi ofisi ni nyumba yako ni dili kumbe anajipunguzia matumizi faida ionekane kubwa na kodi iongezeke pia, kwa wazoefu hata kama nyumba ni yake anaiandikia mkataba Ili iwe sehemu ya matumizi kodi ipungue. Soma kwa makini maelezo yangu utaelewa. Usipoelewa tafuta mfanyabiashara wa kati mwenye uzoefu wa kukwepa kodi akueleweshe.
Bro wewe ni mlipa kodi? Haki kwenye sheria za kodi? Mgogoro wa juzi kati hapo kariakoo hadi wafanyabiashara wakafunga maduka unadhani hawajui haki zao? Ungekua unafahamu jinsi sheria za kodi zinavyo ji contradict usingekuja hapa kusema hivyo!Watanzania juweni haki zenu jamani mtaibiwa hadi damu. Nyumba yako unaanzaje kupanga na kulipa kodi? Anyway ushaingia mkenge.
Wewe unayejielewa unafanya biashara ipi ?Hawakubali kwa wasiojielewa. Biashara ni yako na nyumba ni yako wewe ndio mwenye maamuzi ulipe kodi au ujipatie nyumba bure. TRA hawana mamlaka ya kukulazimisha ulipe kodi kwenye nyumba yako.
Maelezo mazuri ila naomba nitofautiane kidogo nawe kwenye hiyo kodi ya pango! ni kweli inakufanya uonekane na matumizi ya ziada ukiwa kama mpangaji lakini huko mbele utabanwa na witholding tax ukiwa kama mpangishaji.Nimesoma posts zako kuna kitu hapa unachanganya, formula ya T.R.A ya kukukadiria wakuweke kundi gani la kodi kwa mwaka, wanaangalia mtaji wako halisi kutegemea na biashara unayotaka kufanya, unawaambia unategemea kupata faida kiasi gani Kwa siku,mwezi,mwaka halafu ndo annual income yako ambayo ni net profit baada ya kutoa matumizi yote ikiwemo kodi ya nyumba,chumba/frame unayotegemea kufanyia biashara ndo inawaambia wewe upo kundi gani la kodi. Ndo maana kwenye formula yao wamelazimisha mtu aweke kodi ya nyumba/chumba Cha biashara. Hata kama ni nyumba yako unaandika mkataba wa kupanga wenye thamani na nyumba/chumba kama hicho maeneo hayo.(Ni Kwa faida yako), kwasababu kwa mfano faida yako baada ya kutoa vitu vyote (kasoro kodi ya nyumba)kwa mwaka ni milioni 5. Ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 5 Kwa mwaka, ila kama ungejumlishiwa kodi ya nyumba tuseme laki 1 na nusu Kwa mwezi, sawa na milioni 1 na laki 8 Kwa mwaka, ingetolewa kwenye Ile milioni 5 na kubaki milioni 3 laki 2. Kwahiyo ungepigiwa hesabu za watu wanaopata faida ya milioni 3 laki 2. Ndo maana wanalazimisha ulete mkataba wa kupanga nyumba/chumba ni kwa faida yako. Tatizo T.R.A hawatoi ufafanuzi wa kutosha kuelewesha watu vizuri. Mtu anahisi kueleza haupangi ofisi ni nyumba yako ni dili kumbe anajipunguzia matumizi faida ionekane kubwa na kodi iongezeke pia, kwa wazoefu hata kama nyumba ni yake anaiandikia mkataba Ili iwe sehemu ya matumizi kodi ipungue. Soma kwa makini maelezo yangu utaelewa. Usipoelewa tafuta mfanyabiashara wa kati mwenye uzoefu wa kukwepa kodi akueleweshe.
😂 Watakusumbua mwanzoni, ila waandikie barua ya kuelewekaNje ya mada wakuu!
Ukikosea kuandika thamani ya mzigo unarekebishaje🤔🤔yaan kama ilitakiwa iwe 720k ukaandika 72M
Mkuu ridia kunisoma vizuri, hakuna mkwepa kodi mzoefu atasema hiki chumba/nyumba/ jumba ninapofanyia biashara ni la kwangu. Anajua inamuharibia hesabu. Wadau hapo juu wanaongea vitu hawavijui na nahisi sio wafanyabiashara.Wewe unayejielewa unafanya biashara ipi ?
Maelezo mazuri ila naomba nitofautiane kidogo nawe kwenye hiyo kodi ya pango! ni kweli inakufanya uonekane na matumizi ya ziada ukiwa kama mpangaji lakini huko mbele utabanwa na witholding tax ukiwa kama mpangishaji.
Its a chain reaction
Mkuu nina taarifa za huko duniani kuhusu zawadi. Naongelea kwa hapa Tanzania hakuna kitu kama hicho. Ukizawadiwa gari ukaja nalo bongo kodi iko palepale. Mojawapo ni kuwa wabongo janjajanja nyingi. Ilikuwepo ikaondolewa Kwa wanaotoka masomoni. Wabongo walianza kila akija likizo baada ya muda fulani anadai kazawadiwa gari anapunguziwa kodi, wakaona isiwe tabu.Zawadi huwa hailipiwi kodi nenda popote duniani. Ni hawa wakuda wa TRA ndio wanaforce watu kulipia kodi mali ya zawadi.
Inatakiwa ukipewa zawadi ya gari au gari ambayo umenunua kwa matumizi binafsi na sio kuuza zisiwe taxed kama hivi tunavyolipishwa. Gari ya kununua ina kodi yake ambayo ni ndogo sana. Haifiki hata 10% ya bei ya gari. Wanaotakiwa lipa kodi ni wale wamiliki wa yards za magari.
Sio Lazma mkuu Kama jengo ni lako unawasilisha hati ya Nyumba au rizi ya eneo husikaSheria yao,hata kama jengo ni lako.
Lazima uandike mkataba unalipa kiasi gani kwa mwezi.ili nao wapange hayo maokoto yao ya withholding
Unaandika barua TRA unaambatanisha na risiti ya manunuzi ya mzigo wenyewe. Na kawa wewe ndio umeuza mzigo ukakosea basi toa risiti nyingine sahihi mda huohuo, zihifandi zote mda wa return utaambatanisha katika ADJUSTMENT FILING kuondoa hiyo kasoro.Nje ya mada wakuu!
Ukikosea kuandika thamani ya mzigo unarekebishaje[emoji848][emoji848]yaan kama ilitakiwa iwe 720k ukaandika 72M
Yes inawezekanaHabarini wakuu,
Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.
Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara.
Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga mahesabu yao ya sijui withholding tax n.k
Ni mda umepita, nataka kusajili kampuni au biashara ila sasa changamoto yangu ni kwamba ofisi ya hiyi biashara au kampuni nataka iwe nyumbani kwangu kulingana na nature ya shughuli nazotaka fanya.
Sasa naulizia itakuwa ni proper kama wasema nilete mkataba basi nikapeleka huo mkataba wa upangishaji wa nyumba?
Ntaomba ushauri kwa hilo kwa sababu ndo kitu kinanikwamisha.
Asanteeni sanaa
🙏🙏🙏🙏Unaandika barua TRA unaambatanisha na risiti ya manunuzi ya mzigo wenyewe. Na kawa wewe ndio umeuza mzigo ukakosea basi toa risiti nyingine sahihi mda huohuo, zihifandi zote mda wa return utaambatanisha katika ADJUSTMENT FILING kuondoa hiyo kasoro.
🙏🙏🙏🙏 Shukran kaka! Naenda ofisi kuu sio mbali na nlipo😂 Watakusumbua mwanzoni, ila waandikie barua ya kueleweka
Hata risiti ya luku anaweza ambatanisha mimi nimefanya ivyo piaInakubalika kabisa. Kuna barua utaandika kwamba unatoa nyumba yako itumike kama ofisi bure na hakuna ada ya pango ambayo ofisi italipa. Ila lazima uambatanishe copy ya hati ya hiyo nyumba na jina kwenye hati liwe na mmojawapo wa wamiliki wa hiyo kampuni. Ni hivyo tu. Nenda ofisi ya TRA uwaulize watakuambia namna ya kufanya. Wasikulazimishe kuwa ofisi ilipe pango maana hapo watataka ulipe withholding tax. Waambie nyumba unaitoa bure.